OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni follow up medical appointment ya kawaida tuMpachika mabao wa Yanga aliyeongezewa mkataba hivi juzi kati,Donald Ngoma amerejea Afrika Kusini anako tibiwa!
Ngoma ambaye karibia msimu wote uliopita hakuwa fiti,amerejea tena kupata matibabu kutokana na afya yake kutokuwa fiti
Tatizo liko wapi, ulitaka asitibiwe?Mpachika mabao wa Yanga aliyeongezewa mkataba hivi juzi kati,Donald Ngoma amerejea Afrika Kusini anako tibiwa!
Ngoma ambaye karibia msimu wote uliopita hakuwa fiti,amerejea tena kupata matibabu kutokana na afya yake kutokuwa fiti
Nani kakataa time will tell, wazee hawaponi harakaNi follow up medical appointment ya kawaida tu
Kageuka mzee baada ya kuitolea nje Simba?Nani kakataa time will tell, wazee hawaponi haraka
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu Simba alimtaka Ngoma yalikua magazeti tuu sisi hatusajili wagonjwaKageuka mzee baada ya kuitolea nje Simba?
Mzee Tambwe yupo tu anadunda.
Mzee Kessy naye yupo tu hana shida.
Tusubiri ya Mzee Ajib!
Niyonzima Je?Hakuna mtu Simba alimtaka Ngoma yalikua magazeti tuu sisi hatusajili wagonjwa
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Yupo YangaNiyonzima Je?
Sidhani kama watakuelewa, akili zao zimebaki Keko na viongozi wao.Ni follow up medical appointment ya kawaida tu
Mkuu mbona unanirukia mimi nimetoa taarifa tu kwa wanasokaTatizo liko wapi, ulitaka asitibiwe?
Mkuu mbona sijakurukia? Toa jibu tu.Mkuu mbona unanirukia mimi nimetoa taarifa tu kwa wanasoka