Donald Ngoma arudi South Afrika kutibiwa

Donald Ngoma arudi South Afrika kutibiwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mpachika mabao wa Yanga aliyeongezewa mkataba hivi juzi kati,Donald Ngoma amerejea Afrika Kusini anako tibiwa!

Ngoma ambaye karibia msimu wote uliopita hakuwa fiti,amerejea tena kupata matibabu kutokana na afya yake kutokuwa fiti
 
Soon atakuwa fit.....simba mchecheto.

Sent from my MAX 5 using JamiiForums mobile app
 
Mpachika mabao wa Yanga aliyeongezewa mkataba hivi juzi kati,Donald Ngoma amerejea Afrika Kusini anako tibiwa!

Ngoma ambaye karibia msimu wote uliopita hakuwa fiti,amerejea tena kupata matibabu kutokana na afya yake kutokuwa fiti
Ni follow up medical appointment ya kawaida tu
 
Polen simba wote wa kariakoo kwanin msiende mikumi kwa prof jay
Kariakoo waachen yanga watoto w mjini

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Kila la heri, apone awe fit aje aitumikie club yake
 
Mpachika mabao wa Yanga aliyeongezewa mkataba hivi juzi kati,Donald Ngoma amerejea Afrika Kusini anako tibiwa!

Ngoma ambaye karibia msimu wote uliopita hakuwa fiti,amerejea tena kupata matibabu kutokana na afya yake kutokuwa fiti
Tatizo liko wapi, ulitaka asitibiwe?
 
Nani kakataa time will tell, wazee hawaponi haraka

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Kageuka mzee baada ya kuitolea nje Simba?
Mzee Tambwe yupo tu anadunda.

Mzee Kessy naye yupo tu hana shida.

Tusubiri ya Mzee Ajib!
 
Kageuka mzee baada ya kuitolea nje Simba?
Mzee Tambwe yupo tu anadunda.

Mzee Kessy naye yupo tu hana shida.

Tusubiri ya Mzee Ajib!
Hakuna mtu Simba alimtaka Ngoma yalikua magazeti tuu sisi hatusajili wagonjwa

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali Tafadhali

Tufollow Instagram kama kandanda24 kupata updates za soka bongo na barani ulaya
 
Hahahahahahahaha Garasa Hilo kila siku mgonjwa je ligi ikianza itakuaje? Poleni watani zangu yanga
 
Ndo maana Ulaya wazee wanapewa mkataba wa mwaka mmoja Bongo tumekariri mikataba ya miaka miwili mwisho wa siku unavunja mkataba nayy anaenda fifa unakuja kumlipa mahela mengi

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom