Donald Ngoma na Amissi Tambwe wapata dili England

Donald Ngoma na Amissi Tambwe wapata dili England

Katika Magezeti ya Kidaku hapa bongo kuhusiana na Michezo, Champion linaongoza.!!!

Sijawahi kiliamini gazeti hili, hivi ni habari gani ya ukweli waliyowahi kuandika ukiondoa za mechi za viwanjani? Shigongo anadhani kilakitu ni udaku kama kwa magazeti yake ya Ijumaa, Uwazi na mengineyo.

Acha niwe wa mwisho kuiamini habari hii

BACK TANGANYIKA
 
Upande wa umri wameshafeli! Wamewaona ktk youtube labda hawajawaoma laivu, hasa tambwe!
 
Ni ngumu sana mchezaji wa Africa akaenda England direct bila kupitia nchi nyingine za Ulaya kama (France ,Germany,Sweden ,Denmark ,Belgium)
 
Back
Top Bottom