Aliyetoa post ni mwenzenu kiuhalisia, Ila ana pretend kuwa upande wetu.Wakuu sana..
Sibonike Hajar Guasa Amboni Belo kyata Ulimakafu Turnkey Prince Kunta Kichwa Kichafu kichaa msafi na ndugu zenu...
Hivi kwanini hili litimu lenu linaendekeza haya maushirikina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mmeanza kukataana.. Ama kweli mwisho wa zama umefika.Aliyetoa post ni mwenzenu kiuhalisia, Ila ana pretend kuwa upande wetu.
Hahaha.. Sawa mtani nasubiri maoni yako.Hahaahaaa. Ngoja nikasome nielewe kisha nakuja kukujibu mtani.
Hizo story za kutunga za watu wa mikia. Sasa zimezoeleka.Wakuu sana..
Sibonike Hajar Guasa Amboni Belo kyata Ulimakafu Turnkey Prince Kunta Kichwa Kichafu kichaa msafi na ndugu zenu...
Hivi kwanini hili litimu lenu linaendekeza haya maushirikina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani mtani kauli ya mtu mmoja basi ndio uwe msimamo wa watu wote. Mwaka jana mlipigwa faini shilingi laki tano kwa ajili ya mambo haya sasa nalo sijui unalisemaje? Sisi pana mtu tu karopoka tayari umetuuliza swali.Wakuu sana..
Sibonike Hajar Guasa Amboni Belo kyata Ulimakafu Turnkey Prince Kunta Kichwa Kichafu kichaa msafi na ndugu zenu...
Hivi kwanini hili litimu lenu linaendekeza haya maushirikina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mngekuwa hamtumii ushirikina timu yenu ingekuwa daraja la 4Wakuu sana..
Sibonike Hajar Guasa Amboni Belo kyata Ulimakafu Turnkey Prince Kunta Kichwa Kichafu kichaa msafi na ndugu zenu...
Hivi kwanini hili litimu lenu linaendekeza haya maushirikina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaa.Mngekuwa hamtumii ushirikina timu yenu ingekuwa daraja la 4
TB mwenyewe kigagula.Ngoma amepona, Yesu Kristo ni Mshindi daima.
T.B. Joshua songa mbele wanye hekima tunakuelewa na waache Vipofu wawaongoze Vipofu wenzao, safari yao itaishia shimoni.
👍Ngoma amepona, Yesu Kristo ni Mshindi daima.
T.B. Joshua songa mbele wanye hekima tunakuelewa na waache Vipofu wawaongoze Vipofu wenzao, safari yao itaishia shimoni.
Hakika,Yesu ni zaidi ya hao wachawi wa Yanga, yeye Mfalme wa amani, Mungu wa milele, je kuna jambo litalo mshinda, hakika hakunaNgoma amepona, Yesu Kristo ni Mshindi daima.
T.B. Joshua songa mbele wanye hekima tunakuelewa na waache Vipofu wawaongoze Vipofu wenzao, safari yao itaishia shimoni.
Umebaki wewe tu Mtakatifu Ulimkafu.TB mwenyewe kigagula.