Donald Ngoma unajidanganya kwa Tb Joshua rudi ukawaombe radhi wazee wa yanga utafungukiwa na kupona goti

Ngoma amepona, Yesu Kristo ni Mshindi daima.
T.B. Joshua songa mbele wanye hekima tunakuelewa na waache Vipofu wawaongoze Vipofu wenzao, safari yao itaishia shimoni.
 
Hakika,Yesu ni zaidi ya hao wachawi wa Yanga, yeye Mfalme wa amani, Mungu wa milele, je kuna jambo litalo mshinda, hakika hakuna
 
Back
Top Bottom