Kama sikosei alisema atafunga kila game asipofunga akatwe mshahara kwa kila game ambayo hatafunga tena millioni moja.Timu msimbazi hapa hata damu yangu nyekundu ila
MSIFANANISHE MAVUGO NA VITU VYA KIJINGA [emoji87]
wanasimba wenzangu nimesema hivo kiushabiki tu ila kuhusu Mavugo hapo tumeingizwa chaka[emoji35]
bora hata yule SerenKUMA kuliko huyu mchoyo [emoji35] kama Mgosi akirejeshwa kikosini kwa nafas zile za Mavugo hakika Simba kila siku tungekuwa tunaondoka na kapu la mabao
ILA YOTE KWA YOTE SIMBA BINGWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe yule mjinga ndio huyuKama sikosei alisema atafunga kila game asipofunga akatwe mshahara kwa kila game ambayo hatafunga tena millioni moja.
Kwa hali c angepokea mia Tano asee
Amuulize Serunkuma alitoka Kogalo/Gor Mahia kwa mikwara mingi sanaTumpe Muda akisikiliza media za Bongo hatachelewa kurudi Burundi
Mavugo amecheza mechi 9 kafunga goli 3 Chirwa sidhani kama amefikisha hata game 5 lakini ana goli 4