bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Mmoja raia wa zimbabwe,Mwingine raia wa Burundi
Mmoja anachezea Yanga mwingine anachezea Simba ila wote wakiwa kama washambuliaji
Pia wote wamesajiliwa kwa pesa kubwa na wote wanapata mishahara minono.
Je kati ya hao wawili nani mkali hasa hasa katika kucheka na nyavu,kutoa pasi za mwisho za magoli na pia kusaidia timu kwenye kukaba???