Donald Trump amempa Elon Musk mamlaka ya kudhibiti mifumo ya malipo ya Wizara ya Fedha ya Marekani, akimruhusu kuona na kusimamia matumizi ya kodi

Kumbe jf bado wenye akili mpo.

Trump ni kichaa hakufaa kuwa rais.
 
Ogopa kiongozi ambaye hapokei mshahara, anatanguliza uzalendo kwanza.
 
Tresury department pekee. Sio kwa department zote. Matter of fact the most largest depart in US ni DoD
Sasa DoD wanapokea pesa kutoka wapi na wanawasilisha nyaraka za matumizi ya pesa wapi?!
 
Trump pamoja na baadhi ya mazuri yake lakini Kuna vitu au maamuzi anafanya unabaki unaduwaa
 
Anachokifanya Trump kingekua hatari Kwa Marekani wangeshammaliza muda sana, mifumo yao ipo imara sana
 
Nyie si mlituambia kuwa Marekani ina ongozwa na mfumo sio maamuzi ya mtu mmoja?
Haya sio maamuzi ya mtu mmoja tu, ni mpango mkakati wa kitaasisi wa muda mrefu wa Republicans. Nusu ya population ya Marekani imekuwa na watu wajinga wajinga. Kitakachowasaidia kidogo ni kwa sababu majimbo yana nguvu kubwa sana katika baadhi ya mambo.
 
Anachokifanya Trump kingekua hatari Kwa Marekani wangeshammaliza muda sana, mifumo yao ipo imara sana
Empires zote hufika kelele(peak) na kuanza kuanguka. Nusu ya Wamarekani wana support ujinga wa Trump.
 
Sasa DoD wanapokea pesa kutoka wapi na wanawasilisha nyaraka za matumizi ya pesa wapi?!
mfumo wa america hautegemei only treasury, DOD funding zinatokea federal goverment through congretional appropiation.
Ndio maana ni only department yenye budget kubwa mno, otherwise wangefungwa mikono
 
Ngoja tuone labda ndo anguko la Marekani
Empires huwa zinategemezwa juu ya bureaucracy. Ukianza kuona bureaucracy ya nchi inavurugwa ujue ni mwanzo wa anguko la hiyo himaya au taifa. Haiwezekani kuendesha taifa kubwa au Empire bila sophisticated bureaucracy.
 
Wamarekani waliobaki walio serious na shule ni hawa jamii ya Asia lakini hawa wengine waliobaki sorry to say wameoza

Tena hawa jamii ya Asia kinacho wabeba ni culture behind katika suala la kula kitabu graduates upande wa STEM imetawaliwa na hawa hizo jamii zilizobaki zinafagilia mambo ya hovyo na ndio wana ongoza kuwa mashabiki kindaki kindaki wa DT
 
Sasa unachokataa ni nini?

Na habari imeandikwa hapo kwa kiingereza kwa chini.

Kwamba wewe unaijua serikali ya Marekani kuliko Wamarekani wenyewe ambao wameandika hii habari?

Watanzania bhana
Sikatai ila naoupa fact. Nimesoma vizuri na nikaelewa ila its seems ww una narative tofauti
Jifunze kwenda kwenye tovuti za serikali ya america , wana tovuti zao zenyewe zinaelezea mipaka ya hao jamaa
 
Empires zote hufika kelele(peak) na kuanza kuanguka. Nusu ya Wamarekani wana support ujinga wa Trump.
Mtu kudhibiti ubadhilifu mnampachika uchizi?
Mm naona iko poa. Wana fanya auditing ya namna pesa itakavyoenda kutumiwa.
 
duuh.! huyu Elon musk alipoleta Starlink tanzania tulimuwekea uzibe..na hivi kawekwa kitengo nyeti cha ufanisi akiwa na uwezo kuchek pia vitengo vya misaada huku dunia ya tatu sijui kama atasahau tulichomfanyia na starlink yake na huyo babu Trump alivyo mchoyo mmmh mbona tutajibeba.!
 
Ni maamuzi ya mtu mmoja ,kwani ni marais wangapi wa Republican wameiongoza Marekani na hawajawahi thubutu hata kuzungumzia haya yanayo fanywa na Trump?
 
Huku bongo huwa wanaimba usa inaongoza kwa mifumo ila hiyo mifumo sioni na nilichogundua rais wa usa ni very powerful kwa hili linalotekea hapa usa
 
Nyie si mlituambia kuwa Marekani ina ongozwa na mfumo sio maamuzi ya mtu mmoja?
Wabongo utawaweza ukiitaja israel na usa utapewa sifa za kipekee ila ukija kwa uhalisia hukion kinachozungumziawa .. siku usa itakapopotea udhibit wa dolla yake itapaki kama taifa la dunia ya tatu
 
Pia ni mzuri kwenye technology hivyo anaweza kubuni mifumo bora ya udhibiti wa pesa na kuziba mianya ya uchakachuaji hapo Trump kacheza vizuri kete yake
Optimistic 👊🏾👍🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…