Donald Trump amempa Elon Musk mamlaka ya kudhibiti mifumo ya malipo ya Wizara ya Fedha ya Marekani, akimruhusu kuona na kusimamia matumizi ya kodi

Donald Trump amempa Elon Musk mamlaka ya kudhibiti mifumo ya malipo ya Wizara ya Fedha ya Marekani, akimruhusu kuona na kusimamia matumizi ya kodi

Ndugu zako MAGA wanamkubali vibaya mno huyu mwehu.

Sema vilio hata kwao muda sio mrefu vitaanza tu hata Magufuli CCM walijua watakaolia ni upinzani tu walisahau kuna muda hata wao baadhi yao atawageukia.

Trump hana mshirika huyu kichaa anavurugana na Ulaya anampa nafasi adui yake China kuchua advantage anavurugana na Mexico,Canada huku Taiwan naye kuna furushi la ushuru lina msubiri na anasema hawezi jisumbua na Taiwan iliyo maelfu ya kilomita kutoka Washington.

Putin anachekea tu chooni kazi ipo kwa marekani safari hii kweli kajipata kwa mwehu
Kumbe jf bado wenye akili mpo.

Trump ni kichaa hakufaa kuwa rais.
 
Ogopa kiongozi ambaye hapokei mshahara, anatanguliza uzalendo kwanza.
 
Tresury department pekee. Sio kwa department zote. Matter of fact the most largest depart in US ni DoD
Sasa DoD wanapokea pesa kutoka wapi na wanawasilisha nyaraka za matumizi ya pesa wapi?!
 
Wakuu,

Msako wa Elon Musk na bwana Donald kwenye mifumo ya bajeti na fedha huko Marekani unaendelea kushika kasi.

Hivi karibuni Elon Musk amepewa mamlaka na Donald Trump chini ya Wizara mpya ya Ufanisi Wa Serikali kusimamia na kudhibiti mifumo ya ugawanyaji fedha ya serikali ya serikali.

Maana yake ni kwamba Elon Musk ana uwezo sasa wa kuona jinsi pesa ya Wamarekani na kudhibiti kabisa pesa ya serikali isiende kwenye baadhi ya miradi hata kama imedhinishwa na bunge la Marekani.

Elon kwa sasa ana uwezo wa kusema pesa fulani iruhusiwe kwenda mradi fulani au isiende na kuamua nani anafaa kulipwa na serikali ya Marekani au vice versa.

Wizara hiyo ya Ufanisi ina lengo la kupunguza matumizi mabaya ya serikali ya Marekani

Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, baadhi ya watu wa Wizara ndio wameruhusiwa kuona na kusimamia mfumo huo ambapo pia baadhi ya watu ndani ya Wizara ya Fedha ya Marekani wameonekana kutopendezwa na mamlaka anayopewa Elon Musk ndani ya serikali ya Marekani.

==================================================================

The Elon Musk-led Department of Government Efficiency (DOGE) reportedly has access to the system that disburses money on behalf of the federal government, having been given that access by Treasury Secretary Scott Bessent.

This access to the federal payment system provides DOGE with a tool that can be used to monitor and limit government spending, including the ability to restrict the disbursement of money approved by Congress, The New York Times reported Saturday (Feb. 2), citing unnamed sources.

A top Treasury Department official, David Lebryk, had resisted allowing DOGE to access the system, according to the report. Lebryk was put on leave and then retired Friday (Jan. 31).

The members of the DOGE team who were given access to the system were made Treasury employees, passed government background checks and obtained security clearances, per the report. Treasury Department attorneys approved the granting of access.

DOGE’s gaining of access to the system is meant to support its mission of reducing government spending and to allow scrutiny of improper payments, according to the report.

Teams associated with DOGE are also seeking access to other federal agencies’ data and systems, per the report.
Trump pamoja na baadhi ya mazuri yake lakini Kuna vitu au maamuzi anafanya unabaki unaduwaa
 
DOGE ni zaidi ya department zote za serikali ya Marekani ndio maana Elon Musk amepata access ya kuingilia karibia ya mifumo yote ya serikali ya Marekani. Labda CIA tu ndio atakuwa hajaweza kupata ruhusa ya kuperuzi humo, ila inaweza kuwa suala la muda tu.
Anachokifanya Trump kingekua hatari Kwa Marekani wangeshammaliza muda sana, mifumo yao ipo imara sana
 
Nyie si mlituambia kuwa Marekani ina ongozwa na mfumo sio maamuzi ya mtu mmoja?
Haya sio maamuzi ya mtu mmoja tu, ni mpango mkakati wa kitaasisi wa muda mrefu wa Republicans. Nusu ya population ya Marekani imekuwa na watu wajinga wajinga. Kitakachowasaidia kidogo ni kwa sababu majimbo yana nguvu kubwa sana katika baadhi ya mambo.
 
Anachokifanya Trump kingekua hatari Kwa Marekani wangeshammaliza muda sana, mifumo yao ipo imara sana
Empires zote hufika kelele(peak) na kuanza kuanguka. Nusu ya Wamarekani wana support ujinga wa Trump.
 
Sasa DoD wanapokea pesa kutoka wapi na wanawasilisha nyaraka za matumizi ya pesa wapi?!
mfumo wa america hautegemei only treasury, DOD funding zinatokea federal goverment through congretional appropiation.
Ndio maana ni only department yenye budget kubwa mno, otherwise wangefungwa mikono
 
Ngoja tuone labda ndo anguko la Marekani
Empires huwa zinategemezwa juu ya bureaucracy. Ukianza kuona bureaucracy ya nchi inavurugwa ujue ni mwanzo wa anguko la hiyo himaya au taifa. Haiwezekani kuendesha taifa kubwa au Empire bila sophisticated bureaucracy.
 
Haya sio maamuzi ya mtu mmoja tu, ni mpango mkakati wa kitaasisi wa muda mrefu wa Republicans. Nusu ya population ya Marekani imekuwa na watu wajinga wajinga. Kitakachowasaidia kidogo ni kwa sababu majimbo yana nguvu kubwa sana katika baadhi ya mambo.
Wamarekani waliobaki walio serious na shule ni hawa jamii ya Asia lakini hawa wengine waliobaki sorry to say wameoza

Tena hawa jamii ya Asia kinacho wabeba ni culture behind katika suala la kula kitabu graduates upande wa STEM imetawaliwa na hawa hizo jamii zilizobaki zinafagilia mambo ya hovyo na ndio wana ongoza kuwa mashabiki kindaki kindaki wa DT
 
Sasa unachokataa ni nini?

Na habari imeandikwa hapo kwa kiingereza kwa chini.

Kwamba wewe unaijua serikali ya Marekani kuliko Wamarekani wenyewe ambao wameandika hii habari?

Watanzania bhana
Sikatai ila naoupa fact. Nimesoma vizuri na nikaelewa ila its seems ww una narative tofauti
Jifunze kwenda kwenye tovuti za serikali ya america , wana tovuti zao zenyewe zinaelezea mipaka ya hao jamaa
 
Empires zote hufika kelele(peak) na kuanza kuanguka. Nusu ya Wamarekani wana support ujinga wa Trump.
Mtu kudhibiti ubadhilifu mnampachika uchizi?
Mm naona iko poa. Wana fanya auditing ya namna pesa itakavyoenda kutumiwa.
 
duuh.! huyu Elon musk alipoleta Starlink tanzania tulimuwekea uzibe..na hivi kawekwa kitengo nyeti cha ufanisi akiwa na uwezo kuchek pia vitengo vya misaada huku dunia ya tatu sijui kama atasahau tulichomfanyia na starlink yake na huyo babu Trump alivyo mchoyo mmmh mbona tutajibeba.!
 
Haya sio maamuzi ya mtu mmoja tu, ni mpango mkakati wa kitaasisi wa muda mrefu wa Republicans. Nusu ya population ya Marekani imekuwa na watu wajinga wajinga. Kitakachowasaidia kidogo ni kwa sababu majimbo yana nguvu kubwa sana katika baadhi ya mambo.
Ni maamuzi ya mtu mmoja ,kwani ni marais wangapi wa Republican wameiongoza Marekani na hawajawahi thubutu hata kuzungumzia haya yanayo fanywa na Trump?
 
Wakuu,

Msako wa Elon Musk na bwana Donald kwenye mifumo ya bajeti na fedha huko Marekani unaendelea kushika kasi.

Hivi karibuni Elon Musk amepewa mamlaka na Donald Trump chini ya Wizara mpya ya Ufanisi Wa Serikali kusimamia na kudhibiti mifumo ya ugawanyaji fedha ya serikali.

Hivyo, ni kwamba Elon Musk ana uwezo sasa wa kuona jinsi pesa ya Wamarekani na kudhibiti kabisa pesa ya serikali isiende kwenye baadhi ya miradi hata kama imedhinishwa na bunge la Marekani.

Elon kwa sasa ana uwezo wa kusema pesa fulani iruhusiwe kwenda mradi fulani au isiende na kuamua nani anafaa kulipwa na serikali ya Marekani au vice versa.

Wizara hiyo ya Ufanisi ina lengo la kupunguza matumizi mabaya ya serikali ya Marekani

Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, baadhi ya watu wa Wizara ndio wameruhusiwa kuona na kusimamia mfumo huo ambapo pia baadhi ya watu ndani ya Wizara ya Fedha ya Marekani wameonekana kutopendezwa na mamlaka anayopewa Elon Musk ndani ya serikali ya Marekani.

==================================================================

The Elon Musk-led Department of Government Efficiency (DOGE) reportedly has access to the system that disburses money on behalf of the federal government, having been given that access by Treasury Secretary Scott Bessent.

This access to the federal payment system provides DOGE with a tool that can be used to monitor and limit government spending, including the ability to restrict the disbursement of money approved by Congress, The New York Times reported Saturday (Feb. 2), citing unnamed sources.

A top Treasury Department official, David Lebryk, had resisted allowing DOGE to access the system, according to the report. Lebryk was put on leave and then retired Friday (Jan. 31).

The members of the DOGE team who were given access to the system were made Treasury employees, passed government background checks and obtained security clearances, per the report. Treasury Department attorneys approved the granting of access.

DOGE’s gaining of access to the system is meant to support its mission of reducing government spending and to allow scrutiny of improper payments, according to the report.

Teams associated with DOGE are also seeking access to other federal agencies’ data and systems, per the report.
Huku bongo huwa wanaimba usa inaongoza kwa mifumo ila hiyo mifumo sioni na nilichogundua rais wa usa ni very powerful kwa hili linalotekea hapa usa
 
Nyie si mlituambia kuwa Marekani ina ongozwa na mfumo sio maamuzi ya mtu mmoja?
Wabongo utawaweza ukiitaja israel na usa utapewa sifa za kipekee ila ukija kwa uhalisia hukion kinachozungumziawa .. siku usa itakapopotea udhibit wa dolla yake itapaki kama taifa la dunia ya tatu
 
Pia ni mzuri kwenye technology hivyo anaweza kubuni mifumo bora ya udhibiti wa pesa na kuziba mianya ya uchakachuaji hapo Trump kacheza vizuri kete yake
Optimistic šŸ‘ŠšŸ¾šŸ‘šŸ¾
 
Back
Top Bottom