Ungetulia ukasoma post yangu nimefafanua. Kamla huyo kahaba, akahofia atatangaza hivyo kumuathiri kwenye uchaguzi,so akamlipa hela kipitia huyo Cohen ili asitangaze. Hush money scandal.Kwaiyo tuhuma ni kumchakata pornstar au kutumia hela yake kumuhonga pornstar
Trump amekuwa mkubwa kuliko chama chake.Trump wa sasa ni liability kwa chama cha Republican ukilinganisha na Trump wa pre-2021. Ni kwa vile tu Republicans hawana option nyingine kwenye ballot box kuelekea mwezi Novemba, hivyo wako kwenye "point of no return".
Hizi convictions zinazoendelea hivi sasa huenda zikaigharimu Republican kwenye uchaguzi ujao na kuipelekea kukosa idadi kubwa ya kura za urais kutoka kwa baadhi ya voting blocs hasa independents.
Hajawa mkubwa kuliko chama chake bali amekibadilisha chama chake kupitia base yake ya MAGA,Trump amekuwa mkubwa kuliko chama chake.
Suala la kushinda kesi sio ajabu, muhimu amekutwa na hatia aende akajibu tuhuma dhidi yake mahakamani, Trump ni nani aonewe? wacha kumkuza bila sababu, atafute mawakili wakamtetee huko mujimu hao jury wamefanya kazi yao, umetumia hisia zaidi kutoa maini yako kumhusu.Ndiyo.
Kesi za kupikwa kwenye jurisdiction ambayo ni 85% ilipiga kura dhidi yako na ambayo iliendeshwa na mwendesha mashitaka wa chama cha Democrat…
Hakuna haki hapo.
100% this will be overturned on appeal. 100%.
Mbona ni mtu poa sana mkuu, au ndio vile mitazamo inayofanana.Sote tunajua ana kitu kibaya ndani yake, hivyo kuandamwa na ubaya ni haki yake.
Ngabu aliungana na Trump wakati wa birther theory; sielewi kama Ngabu naye hakutaka Obama (mtoto wa Kenya) kutawala USA kkwani alikuwa mbele sana na kampeini ya NOBAMA hapa. Ni miaka mingi imepita lakini inawezekana kumbe theory hiyo ilizama sana kichwani mwa Ngabu.I get your sentiments.
I only wonder if you wouldn’t have
wished for a Trump victory even in the absence of all the fuss. Yaani hizi kesi zisingekuwepo basi usingekuwa na tatizo na Democrats; ungeona sawa tu hata Biden akishinda.
Mawazo yako hapa yana tone ya MAGA supporter - against liberal ideology.
Mahakama ya upeo anaweza kushinda, kuna majaji watatu aliowateua,So?
Huyo jaji hawezi tu kujitungia hukumu zake anazotaka yeye.
Kuna miongozo ya kisheria.
Licha ya hivyo, ngoma bado mbichi na ikibidi itaenda mpaka kwenye mahakama ya upeo.
Kunyanduana sio kosa. Kosa ni kumlipa $130000 Ili asiseme kitu. Kutoa pesa ili kufunga mdomo wa mtu ndio tatizoSasa kama alinyandua huyo kahaba na akamlipa chake, shida iko wapi? Huko ni kuingilia faragha ya mtu
Tatizo hatuwezi kuishi bila wanawakeManzi mwenyewe ndio huyu Trump inasemekana alimu abuse. Wanawake wataendelea kutudondosha wanaume mpaka pale tutakapo jua kufunga zipu.View attachment 3004412
Mbona hii ni pesa ndogo sana. Nikajua ni kibilioni hvKunyanduana sio kosa. Kosa ni kumlipa $130000 Ili asiseme kitu. Kutoa pesa ili kufunga mdomo wa mtu ndio tatizo
Nani anampa?Pesa atazopata sasa hivi ni nyingi kuliko hizo alizopewa na Trump afunge mdomo, na umaarufu juu yake.
ni witch hunt tu hakuna jingine,Tatizo kubwa la Trump ni majivuno na kiburi chake.
Kilichomponza Trump ni ego yake. Kosa la kwanza la kumlipa mwanamke afiche siri siyo siyo crime, na vile vile kudanganya (siyo kugushi) kwenye document za kibiashara siyo crime. Hili la kudanganya linakuwa crime tu kama lilifanyika ili kuficha kosa jingine. Sasa hapo kwenye ufichaji wa kosa jingine ndipo ego ya trump ilipompoza kwani iliwezekana kabisa kumlipa huyo mwanamke bila kuhusisha na uchaguzi ila akagtumia njia za kuwadharau waliokuwa wanamsaidia, na ndio waliomtosa.
Ukifuatia kosa la documents liliko mahakama ya Miami, nayo utagundua pia kuwa ni ego yake ndiyo iliyomletea matatizo. Idara ya kumbukumbu ilimwomba makaratasi matatu tu: (a) Barua aliyoachiwa na Obama (b) Barua aliyoandikiwa na Kim Jong Il (c) ramani iliyokuwa inatumika kuonyesha njia ya Hurricane Dorian. Lakini yeye kwa ego yake akawasumbua kwa zaidi ya mwaka mzima mpaka wakatumia amri ya mahakama na mwishowe kuvamia nyumbani kwa na kukuta document nyingi za serikali ambazo hakutakiwa kuwa nazo ambazo alikuwa anajitahidi sana kuzificha.
Baada ya kujikuta kuwa kosa lake dogo la ego limezaa tatizo kubwa kisheria, yeye anageuza kuwa la kisiasa na majuzi tu anasema kuwa Biden aliamuru FBI watumie deadly force kumkamata na kusahahu kuwa issue ilikuwa ni idara ya nyaraka za serikali.
Sawa. MAGA. Najua huelewi utawala wa Clinton ulivyochunguzwa kwa miaka yote nane.ni witch hunt tu hakuna jingine,
trump alianza kusakamwa toka siku ya kwanza anaingia WH mpk leo.....
hizi hila dhidi ya trump zimeifunua jinsi marekani ilivyo, ni nchi ya kihuni na inaongozwa na magenge!
Bill nae alidondoshwa na Monica.Manzi mwenyewe ndio huyu Trump inasemekana alimu abuse. Wanawake wataendelea kutudondosha wanaume mpaka pale tutakapo jua kufunga zipu.View attachment 3004412