Donald Trump ataingia White House 2025

Trump Anashinda huu Uchaguzi,Wala unabii wa eubert angel hauhitajiki.
Haimaanishi utabiri wake ndiyo utakaompa Trump ushindi. Yeye alichofanya ni kueleza kile alichokiona katika ulimwengu wa roho. Hata angekaa kimya matokeo yasingebadilika. Kinachofanya tabiri zake ziaminike ni kwa sababu mara nyingi hizotoa muda mrefu kabla ya matukio husika kutokea hivyo watu hawawezi kusema alikisia.
 
Na Mimi natabiri Donald Trump atashinda kwasababu ya huruma ya watu wa Marekani na hasa kutokana na tukio la kushambuliwa na risasi..
 
Hata akiwa rais, hakuna kitakacho badilika zaidi ya kulisogeza taifa lake karibu zaidi na destruction, kumbuka America and Europe must fall in order to establish New world order through it's opposites. (BRICS)
 


Wasiomtaka anakuja ha hah haaah πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…