Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
- #21
Kilicho nyuma ya pazia ni maji ya shingo .marekani akishupaza shingo ataumia kiuchumi na kijeshi hakuna namna zaidi ya kujisalimisha.Hauwezi jua nini kiko nyuma ya pazia. Lazima wana benefits za gharama za vita. Remember America First!!!