Donald Trump: I Will Lock Mugabe, Museveni in Prison

Status
Not open for further replies.
Ya waafrika watuachie waafrika, yeye yanamhusu nin??
 
alafu nashangaa eti Trumph anaongoza kura za maoni
 
Mugabe huwa hacheleweshi,nimependa maswali yake ya mwisho eti ' Is that Trump’s head okay? And, are there enough doctors in America to check this man’s psychiatric condition? '
Mugabe ana majibu ya ajabu sana..Uwa hakwepeshi
 
Hiki kifaa Mimi naona kinafaa kuja kusafisha ma dictator Wa Africa, napingana nacho kwenye kuzuia waislam wasiende USA
 
Teh teh... PsychoTrump kakutana na chizi zaidi yake
Ha ha ha !
Trump naona kaenda mbali sana kwa Mzee Jongwe wa Zimbabwe!
Mugabe ana akili Zaidi kumzidi Trump by far, na akiendelea kumsakama utasikia za uso atazaopewa Trump the Dumb!
 
Ha ha ha !
Trump naona kaenda mbali sana kwa Mzee Jongwe wa Zimbabwe!
Mugabe ana akili Zaidi kumzidi Trump by far, na akiendelea kumsakama utasikia za uso atazaopewa Trump the Dumb!
Yule Trumph ni mropokaji tu...hana hekima...sijui,.....wamarekani wakimchagua ni noma

ila katiba yao iko imara na wana strong institutions hawezi kufanya anachotaka tuuuu akaachwa
 
Yaani ukifika bila bila,Ni hiyo ya Trump na Mugabe,maana Trump kachambuliwa kama Karanga,huhu huu!!
 
Na anaweza akawa rais..ila akishinda atawaonea sana wale wa dini ilee!!!
sidhani kama "system" ya US itaruhusu auchukue urais

Kumbuka "System" ndiyo hua inachagua Rais katika nchi yoyote duniani...na sio kura za watu
 
Because they r black.mbna bush ameua sn hajawekw ndan israel inaua kila cku mbna hamna hatua inafnyw n UN na marekan.ukiangalia trump kuna vitu yuko rite ila km rais vita y 3 y dunia inakuja km ilivyo ktk NEW WORLD ORDER.
 
Mkuu, kauli ya Trump ipime kwa kutazama utawala wa ndani na so nje. Viongozi wa kiafrika wanavyowaibia na kuwauza watu wao kwa vipande vya fedha bila hata chembe ya aibu. Hawapigani kwa ajili ya maendeleo ya watu wao. Siku ukisikia akina Bush wameua RAIA wao mwenyewe kwa manufaa binafsi, hoja yako atakuwa sahihi. Lakini marekani kuua waarabu kwa ajili ya mafuta kwa mat umizi ya wamarekani ni patriotism. Wanajenga nchi zako kwa kuwabomoa mengine. Trump kaongea ukweli mchungu
 
sidhani kama "system" ya US itaruhusu auchukue urais

Kumbuka "System" ndiyo hua inachagua Rais katika nchi yoyote duniani...na sio kura za watu
Mkuu uamini au lah, ila Trump ndiye mrithi wa Obama.
 
Kwa hili la kuwaona hao jamaa ni madkteta sioni tabu.

Vipi na kuhusu wakina nanii waliowekeza huko Marekani kwa pesa yetu?!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…