Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

Hotuba ya Donald Trump wakati wa kuapishwa kwake, leo Januari 20, 2024
 
Alishika bible kwa mkono gani nlibeti hio
na kupata kigugumizi mara mbili
kutaja jina la biden haikua na odds
 
Bila kuchoka
Hii speech sio speech ni tumaini jipya sio kwa US pekee Bali dunia
Imagine US president ana draw line MALE AND FEMALE katika dunia hii inayotaka kuaminisha watu uovu wa transgender
Trump ni anti-globalization, hakuna kitu cha maana Africa itakachouambilia kutoka kwa Trump. Pia transgender sio tatizo Marekani, ni siasa tu za kilaghai za Republicans za kuamsha hasira za wapiga kura, matatizo makubwa ya Wamarekani ni gharama kubwa za matibabu na bima ya afya, mauaji ya halaiki ya bunduki, pengo kubwa kati ya masikini na matajiri, mfumuko wa bei n.k ambayo Trump hatashughulika nayo.
 
Hakuna jipya atakalofanya huyo babu anapoliticize tu Wamarekani
 
Anataka kuuchukua mfereji wa Panama!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…