Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

Bila kuchoka
Hii speech sio speech ni tumaini jipya sio kwa US pekee Bali dunia
Imagine US president ana draw line MALE AND FEMALE katika dunia hii inayotaka kuaminisha watu uovu wa transgender
Katika mambo ambayo siyaelewi ni hayo ya ma transgender, ma pronoun…they, them, etc.

Mara sijui watu wanaji identify kama wanyama…

Jinsia ziko mbili tu. Ke na Me.
 
Trump ni anti-globalization, hakuna kitu cha maana Africa itakachouambilia kutoka kwa Trump. Pia transgender sio tatizo Marekani, ni siasa tu za kilaghai za Republicans za kuamsha hasira za wapiga kura, matatizo makubwa ya Wamarekani ni gharama kubwa za matibabu na bima ya afya, mauaji ya halaiki ya bunduki, pengo kubwa kati ya masikini na matajiri, mfumuko wa bei n.k ambayo Trump hatashughulika nayo.
Cost of living hasa groceries Marekani zimekuwa na gharama kubwa sana
 
Baada ya kula kiapo kama Rais wa 47 wa Marekani, Rais Truph amtegaza kuanza zoezi la kuwarudisha wahamiaji haramu nchini kwao na kudhibiti mipaka ya nchi hiyo. Amesisitiza kuwa zoezi hilo litakuwa la aina yake haijawahi kutokea
 
Katika mambo ambayo siyaelewi ni hayo ya ma transgender, ma pronoun…they, them, etc.

Mara sijui watu wanaji identify kama wanyama…

Jinsia ziko mbili tu. Ke na Me.
Na ndio kasema kwa sauti kubwa kuwa ana sign sheria kuwa us itakuwa na gender mbili TU male and female
 
Hii speech ungeiweka kwa lugha yake ndiyo mtu utafurahia maneno ya huyo Bwana mkubwa...
 
Back
Top Bottom