Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #61
Katika mambo ambayo siyaelewi ni hayo ya ma transgender, ma pronoun…they, them, etc.Bila kuchoka
Hii speech sio speech ni tumaini jipya sio kwa US pekee Bali dunia
Imagine US president ana draw line MALE AND FEMALE katika dunia hii inayotaka kuaminisha watu uovu wa transgender
Trump ni anti-globalization, hakuna kitu cha maana Africa itakachouambilia kutoka kwa Trump. Pia transgender sio tatizo Marekani, ni siasa tu za kilaghai za Republicans za kuamsha hasira za wapiga kura, matatizo makubwa ya Wamarekani ni gharama kubwa za matibabu na bima ya afya, mauaji ya halaiki ya bunduki, pengo kubwa kati ya masikini na matajiri, mfumuko wa bei n.k ambayo Trump hatashughulika nayo.
Sijui. Mwulize yeye.Anataka kuuchukua mfereji wa Panama!!??
Wawepo ili wakaote baridi?Hata MAGA hawapo au sijaangalia vizuri? Siini wananchi barabarani.
Is this Fahrenheit,? niliona Celcius ni subzeros
Hii speech sio speech ni tumaini jipya sio kwa US pekee Bali dunia
Afu eti waseme Wassira kazeeka lol
Tumaini jipya kwa duniaEti tumaini jipya kwa dunia, hoja ya kijinga sana
What’s up with the over-punctuation?Anataka kuuchukua mfereji wa Panama!!??
Kwenye hili dunia nzima itampenda TrumpKatika mambo ambayo siyaelewi ni hayo ya ma transgender, ma pronoun…they, them, etc.
Mara sijui watu wanaji identify kama wanyama…
Jinsia ziko mbili tu. Ke na Me.
Na ndio kasema kwa sauti kubwa kuwa ana sign sheria kuwa us itakuwa na gender mbili TU male and femaleKatika mambo ambayo siyaelewi ni hayo ya ma transgender, ma pronoun…they, them, etc.
Mara sijui watu wanaji identify kama wanyama…
Jinsia ziko mbili tu. Ke na Me.
Heard from POTUS' speech kuwa Wachina ndo wanauendesha, no wonder he madSijui. Mwulize yeye.
Baada ya kula kiapo kama Rais wa 47 wa Marekani, Rais Truph amtegaza kuanza zoezi la kuwarudisha wahamiaji haru na kudhibiti mipaka ya nchi hiyo.
Tumaini jipya kwa dunia
Mfumuko wa bei umepanda kote duniani kutokana na COVID-19 pamoja na vita vya uvamizi wa Russia Ukraine.Cost of living hasa groceries Marekani zimekuwa na gharama kubwa sana
😀😀Sijui. Mwulize yeye.