Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

Sasa mbona waziri wake wa treasury ni mke wa mtu! Hapa ananichanganya
 
Ni kwenye mambo na shughuli za kiserikali tu.

Kwa mfano, ukiwa unatuma maombi ya passport, wewe kama ni njemba mwenye mboli lakini unapenda kuwa mwanamke, huwezi kuweka jinsia yako kama mwanamke. Utaweka mwanaume.
Wanakutimua lini huko urudi kwenu usukumani kula viazi na kushenyenta kwenye vichuguu?
 
Natamani kama angeweka sera ya kuzicolonize upya nchi za Kiafrika kama alivyowahi kusema huko nyuma!
Sina hakika kama Shitholes amezikumbuka!
Ukitaka tunaweza kukupeleka ikulu marekani Ili Trump akucolonize usiku kucha mpaka amalize awamu
 
He wishes it was that simple.

There are 50 state governments, and that's before talking about the fillibusters, horse trading, pork and brinkmanship in Congress!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…