Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke

Biden dakika za mwisho katoa pre-emptive pardons kwa wore hao.
 
Biden dakika za mwisho katoa pre-emptive pardons kwa wore hao.
Hahahaa. Yeah nimeona.

Wamejistukia kuwa walichemsha.

Katoa pardons kwa ndugu zake wote 🤣.

Binafsi sidhani kama Trump atalipiza kisasi.

Naombea hata asijaribu kufanya hivyo maana njia pekee ya kuondokana na Lawfare ni kutokuiendeleza.

Ushindi wa Trump ni revenge tosha na iliyo tamu zaidi kuliko hata kuwalipizia kisasi hao wapinzani wake.

Jitihada zao zote za kumfunga zimewatokea puani.

Aachane nao tu.
 
Nitumie hela kwanza.
Duh Kuna mzungu 1 alitunyima visa wote tulioenda hiyo siku

Kumbe ndo zake wamempa likizo ya lazima 🤣 maana haiwezekani wote atunyime Tena haulizi ht swali
Naomba Mungu next time nisimkute
Ningejua USA sahivi
 
Hotuba nzima sijasikia akisema CCM oyeeeeee, ingekua bongo sasa...... anyway hawezi kutekeleza kwa asilimia Mia moja but at least ameleta changamoto mpya zenye tafakuri mpya. Hongera Trump
 
Inavoonesha lijamaa halina utani kwenye hilo swala,nina clasmate yuko huko nimeona kapost status whataspp anarudi nyumbani anawalaumu joe na kamala
Kwani hakwenda Kwa njia halali? Illegal migrants?
 
Wakomunisti mna propaganda za kipuuzi sana, umeweka miako 40 iliyopita makusudi ili tu umuondoe Jimmy Carter.
Hahaha na sio Carter hata Trump hakuanzisha vita kwenye kipindi chake Cha kwanza
 
Keshaanza kazi. Mwendo wa kusaini executive orders tu.

Hii picha imenikumbusha picha moja ya Magufuli akiwa na mafaili.

 
Mambo ya mtu kuji identify kama paka ikiwa binadamu, mambo ya they/them kwisha sasa.

Kwa hili Trump ana nafasi ya kipekee kwa Mungu.
Your browser is not able to display this video.
 
Mambo ya mtu kuji identify kama paka ikiwa binadamu, mambo ya they/them kwisha sasa.
Kwa hili Trump ana nafasi ya kipekee kwa Mungu.
Kwamba Marekani ilikuwa ndio kikwazo kwa binadamu waliopo Tanzania kuji idetify kama binadamu? Hii ina maana lakini kwa Marekani (maana amesema in America, sio in the World). Haina athari yoyote kwa Tanzania. Kila mmoja ana wajibu wa kufanya jitihada za kumrudisha kwa Mungu mtu wake wa karibu au jirani, itakuwa na athari zaidi kuliko kutegemea tamko la rais wa nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…