Donald Trump: Mji wa Springfield Marekani hali ni tete watu wanakula paka na mbwa

Donald Trump: Mji wa Springfield Marekani hali ni tete watu wanakula paka na mbwa

Balozi akuhakikishie Nini,apo! kwanini huo uhakika usiutafute kwenu,uko! wanapopotea ndugu,Jamaa na,marafiki? kupitia watu wasiojulikana? au we,unaona ni,bora,tuanze na,hili la,paka,na,mbwa,wa,mzee,Trump?
 
vyote viende pamoja mwana...Raia kula paka na panya huko marekani ni jambo la kiusalama huko marekani .ndio maana nimeomba balozi aingilie kati.
Unaweza kuthibitisha raia wamekula paka na panya au unadandia tu habari?
 
Mgombea Urais wa Marekani Rais mstaafu Donald Trump amekuwa consistent na hoja yake (pia hajaikanusha)aliyoitoa wakati wa mdahalo kwamba katika mji wa Springfield Ohio wananchi wanakula paka na mbwa.

Baadhi ya vyombo vya habari nchini marekani ambavyo mara nyingi Trump huviita kwa jina la fake media/fake news vinajitahidi kukanusha kwa kasi lakini ukweli unaendelea kutafutwa.

Kwa uzoefu wangu najua kabila la wasafwa hapa Tanzania niliwahi kuwashuhudia wakichemsha paka na panya kama sehemu ya msosi.

Springfield ni mji uliovamiwa na wahamiaji wengi kutoka Haiti wenye asili ya uafrika.

Hoja ya Trump haiwezi kupuuzwa hivi hivi bali uchunguzi zaidi unapaswa kufanyika.
ukipita mtandaoni unaweza kuona baadhi ya wana-Springfield wanakiri kupotea kwa paka na mbwa wa mitaani.

Soma Pia: Risasi zarindima katika eneo la karibu alipokuwepo Donald Trump, Maafisa usalama wanasema yupo salama

Balozi wa Marekani nchini Tanzania inabidi atoke mafichoni na kutuhakikishia kuwa huko Springfield hali ya usalama wa paka na mbwa ni shwari.

@nyaningabu Kiranga Mzee Mwanakijiji hebu njooni huku.
Hiyo kauli Trump imemuojea anajuta saivi, imemshusha hadhi na kukosa support sana, Trump ni muongo sana ule mdahalo alipiga mara 31+ kwa mujibu wa wachambuzi wa CNN, hana mpya Trump
 
Back
Top Bottom