Donald Trump: Mji wa Springfield Marekani hali ni tete watu wanakula paka na mbwa

Balozi akuhakikishie Nini,apo! kwanini huo uhakika usiutafute kwenu,uko! wanapopotea ndugu,Jamaa na,marafiki? kupitia watu wasiojulikana? au we,unaona ni,bora,tuanze na,hili la,paka,na,mbwa,wa,mzee,Trump?
 
vyote viende pamoja mwana...Raia kula paka na panya huko marekani ni jambo la kiusalama huko marekani .ndio maana nimeomba balozi aingilie kati.
Unaweza kuthibitisha raia wamekula paka na panya au unadandia tu habari?
 
Hiyo kauli Trump imemuojea anajuta saivi, imemshusha hadhi na kukosa support sana, Trump ni muongo sana ule mdahalo alipiga mara 31+ kwa mujibu wa wachambuzi wa CNN, hana mpya Trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…