The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa namna Donald Trump alivyotishia kushusha kiama Iran na namna alivyoufyata, Irani wanazidi kupata ushindi hata bila kupigana wala kujibu maneno yake.
Breaking news ni kwamba Trump ametoa wiki mbili zaidi kutimiza azima yake ya 'kushusha kiama' kwa Iran. Hili jamaa lina ugonjwa wa akili na ule wa kupenda sifa.
Licha ya kujigeuza kituko, Trump ameigeuza Marekani kichekesho hadi kutegemea taifa kama Pakistan na Uturuki kuficha aibu yake.