The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Trump ni kenge maji.Kwa namna Donald Trump alivyotishia kushusha kiama Iran na namna alivyoufyata, Irani wanazidi kupata ushindi hata bila kupigana wala kujibu maneno yake. Breaking news ni kwamba Trump ametoa wiki mbili zaidi kutimiza azima yake ya 'kushusha kiama' kwa Iran. Hili jamaa lina ugonjwa wa akili na ule wa kupenda sifa. Licha ya kujigeuza kituko, Trump ameigeuza Marekani kichekesho hadi kutegemea taifa kama Pakistan na Uturuki kuficha aibu yake.
Hao ni watumwa wa imani. Wenzetu huwa hawana habari na mambo yetu na wanatuona kama bado wale watumwa wa mababu zao kwa sababu ya dini zao nyemelezi na chafu.kutakuwa na mtifuano mkali kati ya wagalatia na kobaz hapa, nipo pembeni