Safi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetaniView attachment 3474540
ANTIFA ni syndicate ya mrengwa wa kusoto inayotumia njia za machafuko na vurugu kuwakilisha itikadi yao ya kupinga sera za mrengwa wa kulia, ku-promote ukomonisti/ujamaa na kulinda haki za mashoga na wasagaji
==========
Duh dramatic buddySafi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetani
USSR
Huu uchafu wote unawahusu? Hawali mavi kweli?Safi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetani
USSR
Safi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetani
USSR
Na kuamuwa kuvamia nchi yoyote yenye rasilimali na maliasili ambayo USA inayahitaji!Demokrasia ambayo ililazimishwa kwa nchi nyengine mpaka kufikia kuzivamia baadhi ya nchi hizo na kuzimwaga damu za watu kwa kisingizio chake hiyo demokrasia sasa imemshinda mwenye demokrasia yake.
Allah hana nguvu yoyoteAllah Awashughulishe madhalimu kwa madhalimu wengine na Awatoe Waislam katikati yao kwa Salama.
Allah Awafanye hawa wakabane makoo yao wenyewe anashikwa wenyewe na wengine tupate nafuu kutokana na shari zao na shari zao zituondoke kwa Salama.
Ndio maana walokole mnapofeli hapo ni sawa sawa na mwalimu akupe mtihani baada ya kukufundisha halafu akupe na majibu huyo mwanafunzi atakuwaje? Use your common sense japo kidogoAllah hana nguvu yoyote
Allah anashindwa kuwaokoa Wapalestina
Allah anashindwa kukuokoa wewe una umasikini