Donald Trump: Nimekipa hadhi ya ugaidi kikundi cha ANTIFA

View attachment 3474540

ANTIFA ni syndicate ya mrengwa wa kusoto inayotumia njia za machafuko na vurugu kuwakilisha itikadi yao ya kupinga sera za mrengwa wa kulia, ku-promote ukomonisti/ujamaa na kulinda haki za mashoga na wasagaji

==========
Safi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetani

USSR
 
Safi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetani

USSR
Duh dramatic buddy
 
Safi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetani

USSR
HAKIKA MKUU šŸ¤

šŸ‘šŸ»šŸ‘šŸ»šŸ‘šŸ»šŸ‘šŸ»
 
Safi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetani

USSR
Huu uchafu wote unawahusu? Hawali mavi kweli?
 
Ni kundi la Antifa lililohusika na maandamano na kupopoana dhidi ya makundi ya right wingers wenye msimamo mkali zaidi wa kifashisti. Hata hivyo haileweki hili tamko lake Trump kulitangaza Antifa kuwa kundi la kigaidi litafanyaje kazi kwa sababu Marekani haina sheria za ndani ya nchi za ugaidi dhidi ya raia wake.
 
Safi ana Mungu ambariki Trump hawa ANTIFA wako na mambo ya kupigia upatu ushoga. Utoaji mimba. Uislamu kujaa Ulaya na Marekani. Usagaji na kuabudu shetani

USSR



Allah Awashughulishe madhalimu kwa madhalimu wengine na Awatoe Waislam katikati yao kwa Salama.


Allah Awafanye hawa wakabane makoo yao wenyewe kwa wenyewe na wengine tupate nafuu kutokana na shari zao na shari zao zituondoke kwa Salama.
 
Demokrasia ambayo ililazimishwa kwa nchi nyengine mpaka kufikia kuzivamia baadhi ya nchi hizo na kuzimwaga damu za watu kwa kisingizio chake hiyo demokrasia sasa imemshinda mwenye demokrasia yake.
 
Demokrasia ambayo ililazimishwa kwa nchi nyengine mpaka kufikia kuzivamia baadhi ya nchi hizo na kuzimwaga damu za watu kwa kisingizio chake hiyo demokrasia sasa imemshinda mwenye demokrasia yake.
Na kuamuwa kuvamia nchi yoyote yenye rasilimali na maliasili ambayo USA inayahitaji!
Hata kutumia visingizio vya ugaidi, madawa ya kulevya nk nk
HYPOCRISY AT IT BEST!
 
Hapa Trump kapuyanga, sasa antifa ina kiongozi? Au ina wanachama? Unawezaje kuliita kundi la kigaidi ikiwa halina makao makuu, halina wanachama n.k.
 
Allah Awashughulishe madhalimu kwa madhalimu wengine na Awatoe Waislam katikati yao kwa Salama.


Allah Awafanye hawa wakabane makoo yao wenyewe anashikwa wenyewe na wengine tupate nafuu kutokana na shari zao na shari zao zituondoke kwa Salama.
Allah hana nguvu yoyote


Allah anashindwa kuwaokoa Wapalestina


Allah anashindwa kukuokoa wewe una umasikini
 
Allah hana nguvu yoyote


Allah anashindwa kuwaokoa Wapalestina


Allah anashindwa kukuokoa wewe una umasikini
Ndio maana walokole mnapofeli hapo ni sawa sawa na mwalimu akupe mtihani baada ya kukufundisha halafu akupe na majibu huyo mwanafunzi atakuwaje? Use your common sense japo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…