Asema kuwa makampuni kutoka Marekani yataanza kazi ya kuchimba mafuta na madini nchini Venezuela ili kuwasaidia wananchi wa Venezuela, na kulipa fidia kwa serikali ya MarekaniRais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Venezuela itatawaliwa na Marekani hadi hapo atapopatikana mtu wa kutawala Venezuela.
Asema kuwa makampuni kutoka Marekani yataanza kazi ya kuchimba mafuta na madini nchini Venezuela ili kuwasaidia wananchi wa Venezuela, na kulipa fidia kwa serikali ya Marekani
Maana yake China, Iran na Urusi ndo wameondolewa rasmi
Trup ni mjanja, anafanya mambo kwa maslah ya MarekanYoda umeelewa sasa juu ya kauli yangu ya kuondolewa Maduro ni mambo ya maslahi siyo demokrasia?
Hii Ina tofauti gani na wakoloni kuvamia taifa lingine na kuchuma rasilimali zao?
Urusi sio mshirika wa kumtegemea kwauza wengi tu ikiwa Gadafi wa LibyaHaya Urusi iseme neno sasa!
Mimi huwa sijali jinsi madikteta wanavyoondolewa au wanavyoondoka madarakani,Yoda umeelewa sasa juu ya kauli yangu ya kuondolewa Maduro ni mambo ya maslahi siyo demokrasia?
Hii Ina tofauti gani na wakoloni kuvamia taifa lingine na kuchuma rasilimali zao?
China na Russia sio wa kuwaaminiNi lini makampuni ya Marekani kama yaliacha kuchimba mafuta Venezuela? Hujui kuwa Chevron bado wanachimba mafuta Venezuela?
Marekani hana ubavu wa kuwaondoa China kwenye uwekezaji
Mwaka jana tu kampuni ya China CCRC iliingia mkataba wa miaka 20 kuchimba mafuta katika Ziwa Maracaibo reserve kubwa ya pili kwa utajiri wa mafuta nchini Venezuela
Hata hiyo serikali itakayowekwa na Marekani itawaheshimu walioiweka, si wananchi wa Venezuela.Hii ndiyo dawa ya Viongozi na serikali zisizoheshimu wananchi wake.
Huwezi kuwanyanyasa, kuwakandamiza, kufanya ufisadi na kuwaua raia wako utegemee watasimama na wewe kwa sababu yeyote ile. Udikteta dhalimu kwa taifa unaua uzalendo wowote ule wa raia.Yoda umeelewa sasa juu ya kauli yangu ya kuondolewa Maduro ni mambo ya maslahi siyo demokrasia?
Hii Ina tofauti gani na wakoloni kuvamia taifa lingine na kuchuma rasilimali zao?
Ni lini China ilikuwa mshirika wa Venezuela kufikia hatua ya kusaini mikataba ya kulindana?China na Russia sio wa kuwaamini
Maduro alikua anawasaidia wananchi wa Venezuela?Hayo ni majizi yanataka mafuta tu, hakuna kingine
Watu wasio kuwa na maarifa wanafikiri yamekwenda kuwasaidia wananchi
Kumbe yamekwenda kuiba raslimali za Venezuela
Kama yalivyo fanya kwa Libya na kwingineko yaliko vamia yakijifanya yanatetea wananchi
Duuuu nchi imepinduliwa.....fukuza kampuni za urusi china harakaaaRais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Venezuela itatawaliwa na Marekani hadi hapo atapopatikana mtu wa kutawala Venezuela.
Asema kuwa makampuni kutoka Marekani yataanza kazi ya kuchimba mafuta na madini nchini Venezuela ili kuwasaidia wananchi wa Venezuela, na kulipa fidia kwa serikali ya Marekani
Maana yake China, Iran na Urusi ndo wameondolewa rasmi
Waje huku piaRais wa Marekani Donald Trump asema kuwa Venezuela itatawaliwa na Marekani hadi hapo atapopatikana mtu wa kutawala Venezuela.