Donald Trump: Tutaiongoza Venezuela hadi Serikali ya Wananchi itakapopatikana

Hawa wabongo inabidi waache sasa upumbavu wanaoufanya kwenye makaa ya mawe na gas
 
Inaitwa win win situation.

Kwa mfano wakija hapa Bongo watapata rasilimali, wakati sisi hatutatekwa tena, hatutauwawa..

Kila mmoja apate.
 
Yoda umeelewa sasa juu ya kauli yangu ya kuondolewa Maduro ni mambo ya maslahi siyo demokrasia?
Hii Ina tofauti gani na wakoloni kuvamia taifa lingine na kuchuma rasilimali zao?
Viongozi wakatili wa Venezuela ndio wajilaumu kwa hilo. Na kwa taarifa yako usishangae US akianza kuvuna hizo raslimali, wananchi wa Venezuela wakafaidiki kuliko alichokuwa anafanya huyo Maduro. Unataka kuleta tafsiri potofu kuwa US akivuna hizo raslimali basi automaticaly wananchi wa nchi hiyo watakuwa wamepoteza.

Kwa mfano hapa kwetu raslimali zetu wanavuna wageni, tunakosa sana? Bandari nk wamepewa wageni kwa mikataba tata. Si bora avune US na hao wanachi waishi kwa amani?
 
Yoda umeelewa sasa juu ya kauli yangu ya kuondolewa Maduro ni mambo ya maslahi siyo demokrasia?
Hii Ina tofauti gani na wakoloni kuvamia taifa lingine na kuchuma rasilimali zao?
Mimi naona muhimu madikteta watoke na wao waonje dawa waliyoitengeneza kwa mikono yao.

Trump aje na kwetu..!!
 
Ndo wataondolewa sasa
 
Wakulaumiwa madikteta sababu wanatengeneza mazingira ya kufanyiwa mateka au kuondolewa kwa nguvu na imperial powers.
Wangezibgatia haki na uhuru imperialist wangekosa sababu ya kuwavamia au kuwaingilia mambo yao.
 

Wewe ndiye huna maarifa.
Ujue kuwa wananchiwa Venezuela walikuwa wakiteseka kutokana na utawala wa dikteta Maduro.

Taasisi mbalimbali na wananchi wa Venezuela Venezuela wamekuwa wakiomba mataifa mbalimbali kuwasaidia kuundoa utawala wa kidikteta wa Maduro, wakiahidi kuwalipa watakaowasaidia.
Marekani imewasaidia, imeuondoa utawala dikteta, haijawataka Wavenezuela wawalipe badala yake makampuni ya Marekani yatawekeza Venezuela, halafu sehemu ya kodi ya hayo makampuni ndiyo itaenda kuilipa Marekani. Hapo kuna ubaya gani? Walifanya hivyo hivyokwa South Korea, na leo South Korea ni taifa tajiri kuliko lilivyokuwa huko nyuma.
Hukusikia watu miaka ya huko nyuma, baadhi ya watu wakimlaumu Jayati Nyerere kwa kutowadai Waganda watulipe gharama tuliyoitumia kumng'oa Id Amin?

Wavenezuela wakijipanga vizuri, kwa kuwapata wawekezaji wa Kimarekani, watapata maendeleo ta haraka na makubwa kuliko wanfebakia na huyo dikteta. Fuatilia maeneo ambako Marekaniimewekeza kwa kiwango kikubwa, linganisha na waliko wachina. Marekani ndiyo wawekezaji wakubwa kwenye uchimbaji wa mafuta Kuwait na Saudia, ndiyo wawekezaji wakubwa kwenye uchimbaji wa gas Qatar.

Kwa mfano wakija huku kwetu wakatuondolea wauaji, halafu tukawapa Liganga wachimbe chuma ambacho tumewapa wachina, sasa ni zaidi ya miaka 15, hakuna lolote, si tutakuwa tumefaidika mara mbili? Chuma kikichimbwa tutapata ajira, mapato ya Serikali, tekinolojia, na tutakuwa tumeondokana na ushetani wa watu kutekwa na mauaji ya ajabu na ya kutisha.
Kwa Venezuela, kama wamarekani watawekeza huko, wakapata uongozi mzuri na wa kidemokrasia, hakika watashukuru sana, kuliko kubakia na tawala hizo za kidikteta na za ufisadi wa ajabu.
 
China na Russia sio wa kuwaamini
Lazima tukubali uchumi wa Russia mdogo hawezi kupigana au kufadhili vita mbili au zaidi kwa wakati mmoja.
Vita yake na ya rafiki zake.
Russia can not fight a war on two fronts concurrently.
Kwa Sasa amebanwa sana Vita yake na Ukraine. Anapigana na mataifa karibu 32 ya NATO, EU na washirika wao wengine.
 
WACHAGA TUNAITA

UNTILL FURTHER NOTICE...

HAHAHA πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ 🀣 LOVE U AMERICANS CHAGANS
 
Kale ka- wimbo ...MAKE GREAT AGAIN....
 
MPAKA.MUNGU ASEME BASII
ALL D BEST TRUMP
 
Aje na uku kwa kna esther luxury kna gayizi na bibi wu a yuu macho kama kamega nyagi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…