Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Allah awasaidie wapelistina dhidi ya israel au ameshindwaAllah utake usitake ndio Mungu wenu, huyo Yesu mnajisumbua hawasaidii lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah awasaidie wapelistina dhidi ya israel au ameshindwaAllah utake usitake ndio Mungu wenu, huyo Yesu mnajisumbua hawasaidii lolote.
Wakristo mna hali mbaya sana, badala kumcheka aliye andika bibilia kwa kuwambia Israel ni taifa la mungu wenu atalilinda. Hatuoni analilinda hapo tuna ona wazi kabisa mungu wa kikristo ambaye ni Yesu alisha kufa haba uwezo hata wakuinua mkono. Tunaona ni US ambalo ni taifa la shetani na Nato kwa ujumla ndio wanalilinda sio mungu wenu 😄Allah awasaidie wapelistina dhidi ya israel au ameshindwa
Hiyo herufi o uliyoongeza hapo kwenye jina la Trump haitakiwi.USA ni Trampo na Trampo ni USA
Trump ni bora kuliko huyo baniani. Hata mimi ningekuwa mmarekani na vote Trump.
Mimi hawa Rais wa USA wote sioni kama wanafanya kwa faida ya nchi yao kuliko kwa Israel. Wote ni ma puppets wa Israel.
Sante mwl wa darasaHiyo herufi o uliyoongeza hapo kwenye jina la Trump haitakiwi.
Hayo mambo ya mapokeo ya dini ya wakristo hayakuhusu wewe muislamuWakristo mna hali mbaya sana, badala kumcheka aliye andika bibilia kwa kuwambia Israel ni taifa la mungu wenu atalilinda. Hatuoni analilinda hapo tuna ona wazi kabisa mungu wa kikristo ambaye ni Yesu alisha kufa haba uwezo hata wakuinua mkono. Tunaona ni US ambalo ni taifa la shetani na Nato kwa ujumla ndio wanalilinda sio mungu wenu 😄
Kuna msemo unasema kama nyumba yako ni ya vigae usiwarushie wenzako mawe.
Afu lile banda la kuku mnalikumbuka alilo piga Hezbullah, tukawambia kulikua na majogoo mengi wananza taratibu kukiri majogoo mengi yalikufa, haswa lile kuchi lao.
![]()
The disappearance of the commander of the 8200 unit after the Arbaeen operation of Hezbollah | WEBANGAH NEWS
News sources report the disappearance of the senior military intelligence commander of the Zionist regime following the Arbaeen operation of the Lebanese Hezbollah.en.webangah.ir
Kama hawasaidii.mbona bado wanapigana vita na wamefungiwa chakula, silaha, umeme, maji na sunction za kila aina. Sa jiulize nani anawasaidia hapo, US na Nato au 😄Hayo mambo ya mapokeo ya dini ya wakristo hayakuhusu wewe muislamu
Jiulize kwanini alah hawasaidii wapalestina na kila siku wanamuita
Kwa lugha nyingine allah kashindwa walinda palestina
Mbona tena unahamia kwenye mambo ya diniKama hawasaidii.mbona bado wanapigana vita na wamefungiwa chakula, silaha, umeme, maji na sunction za kila aina. Sa jiulize nani anawasaidia hapo, US na Nato au 😄
Israel afungiwe umeme,chakula, maji na silaha au afanyiwe sunction za kila aina, unadhani hata week angebaki 😄 Hapo wazi taifa teule la kikristo ni fake kama ukristo wenu ullvyo ni fake.
Hivi nani aliye wambia ukristo ni dini? Yesu au Ibrahim au nani Musa au
Aliye anzisha dini nani sio huyo mkristo mwenzako, kusema Allah wenu yuko wapi hawasaidii wa Palestine alitaka tumnyamazie. Nimemjibu naona nimewakuna sawa sawa, sababu taifa teule lenu linasaidiwa na US pamoja na Nato, na bado halijashinda mpaa leo. Wanapokea vifoo huko Gaza. Afu nyie mnaona enda kanisani kumbe kulala lazima muambiwe 3=1😄Mbona tena unahamia kwenye mambo ya dini
Sawa ukristo sio dini wewe muislamu inakupunguzia nini kwanini hamjifunzi kushughulika na mapokeo ya dini yenu
Aliye anzisha dini nani sio huyo mkristo mwenzako, kusema Allah wenu yuko wapi hawasaidii wa Palestine alitaka tumnyamazie. Nimemjibu naona nimewakuna sawa sawa, sababu taifa teule lenu linasaidiwa na US pamoja na Nato, na bado halijashinda mpaa leo. Wanapokea vifoo huko Gaza. Afu nyie mnaona enda kanisani kumbe kulala lazima muambiwe 3=1😄
View: https://youtube.com/shorts/HWDrd8JGjPM?si=fpbV3MnCdg70WoiR
Kule Gaza vijana wanauza vyuma sasa kwa ma tons
View: https://youtube.com/shorts/ljJkIUilGEw?si=hMsPHAY19uexsTsQ
Allah ndio anawasaidia watu wa Gaza, nyie bakini na ujinga wenu wafuasi wa Paulo, aliye potea hajui aende wapi Damascus au JerusalemTuma picha usichoke alafu mwambie allah wenu awasaidie wapalestina
Allah ndio anawasaidia watu wa Gaza, nyie bakini na ujinga wenu wafuasi wa Paulo, aliye potea hajui aende wapi Damascus au Jerusalem
Sie tuna fata mafunzo ya Nabii Ibrahim.
View: https://youtube.com/shorts/zrTjOEmRHRc?si=yAK1u2hloGNEyPOU