aaaaaaaah af mi niwe huyo muwhite enh!hv wakubwa ndo wanashika tu watu viuno na kugaiwa makiss kisss meeeengi we ona hapo mabebs wote wameandaa midomo ready for donald!uuuwih bora tu ukue mkubwa mtani wangu.When I grow up, I want to be Donald.....
aaaaaaaah af mi niwe huyo muwhite enh!hv wakubwa ndo wanashika tu watu viuno na kugaiwa makiss kisss meeeengi we ona hapo mabebs wote wameandaa midomo ready for donald!uuuwih bora tu ukue mkubwa mtani wangu.
When I grow up, I want to be Donald.....
Nadhani jamaa akiwaambia aka wa-do watakataa, wala hawatakubali.Lakini hapa mbona kama flavianna ametahamaki?! Sijui ndio anaona kwa nini asiwe yeye kwenye position ya huyo dada hapo?! Ukiangalia facial expression yake haionekani kama kawaida!!
Hapo flav. alimchoma jamaa na saa sita zate. Halafu wakaondoka na hii kitu hapo chini.
Sasa hii ndo unaita Donald na flavianna?
Mwaume kwa umbea yulee khaaaaSasa hii ndo unaita Donald na flavianna?
wooow...........
mkuu nikusahihishe kidogo.issue sio Donald John Trump kupapatikiwa bongo....ni stutus yake kimataifa ktk nyanja ya biashara hususani biashara ya real estate.mtu kama huyu sio tu bongo hata huku western jina lake pekee ni ujazo wa prominent personality.huwezi kumfaninisha na matepeli wa bongo mfano wa kina papaa msofe na ndama mtoto ya ng'ombe.jamaa ni tajiri mkubwa sana.so kwa mtoto wa kimatumbi flaviana matata kupata nafasi ya kupiga picha nae sio jambo la kimasihara.kama baba naniliyu anaona ujiko kupiga picha na kombe la dunia je kwa huyo model wetu tusifurahie jamani?!acheni hizi mambo wa wabongo.Alikuambia Donald anapapatikiwa na kila mtu TZ?
When I grow up, I want to be Donald.....
Mbona Flavi amehamaki kana kwamba hakutarajia hiyo kitu. Kwa maneno mengine kama vile yeye ndio alistahili kufanyiwa.When I grow younger, I want to be Flaviana . . .
Mwaume kwa umbea yulee khaaaa
Mie nikafungua najua wapo sehemu na Faviana ufukweni hivii enheee kumbe jukwaani tena kikazi.
Kwako wewe Ufukweni tu ndio ina maana ya "WITH" Wabongo acheni wivu nyee, bhaaa. Mtoto yupo juu bana. Kwanini wewe kikazi mara ngapi umesha kuwa na Rais wenu? Oooops,
Lakini hapa mbona kama flavianna ametahamaki?! Sijui ndio anaona kwa nini asiwe yeye kwenye position ya huyo dada hapo?! Ukiangalia facial expression yake haionekani kama kawaida!!