kimunyesam
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 220
- 202
Hii kamikaze iko hivi, manowari zilikua tishio sana na drill torpedo zilikua bado au chache mbinu rahisi ilikua unajaza mabom ndege ya kivita unatoka speed kujitupia juu ya manowari story inaishia hapo, yako na manowari!