kimunyesam
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 220
- 202
Kwa tafsiri nyingine nikuwa walikuwa wanajitoa muhanga???Hii kamikaze iko hivi, manowari zilikua tishio sana na drill torpedo zilikua bado au chache mbinu rahisi ilikua unajaza mabom ndege ya kivita unatoka speed kujitupia juu ya manowari story inaishia hapo, yako na manowari!
Dying for the country!! Ndo wabongo uwalishe sumu hadi kumvamia mmarekani hivi...itachukua muda.Kwa tafsiri nyingine nikuwa walikuwa wanajitoa muhanga???
Mkuu tafuta movie inaitwa Hacksaw Ridge n balaa hiyo story.Nimekupata