Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Mkuu link ya kuweza ku apply kama unayo
 
Tafadhali Google: "Advanced Africa Scholarship 2017" utapata Mischolarship ya Kumwaga hapo mpka utakimbia mwenyewe.
Vile vile Google :"CUCAS" utapata mischolarship ya China mpaka Utakohoa mwenyewe
Izi sa cucas ni kama waizi....sababu kitu cha kwanza wanaitisha pesa
 
Wazo hili ni zuri, kikubwa ni kuelekezana kwa kina zaidi nini cha kufanya ili kuhakikisha tunapata chance za masomo.
 
Huna sifa za kupewa ufadhili.

Ungejitahidi angalau O lev ungepata One ya 10 , na A lev one ya tano au sita.
anapata vizur sana hata havard, vyuo vingi hawaangalii matokeo ya mwisho tu kuna vitu vingine kama gre,tofel score your community involvment,your passion of changing the world
kuna watu wamekuwa admitted havard kwa gpa za 2



so namshauri huyo kijana aombe scholarships kama kweli anajihisis ana something extra
 
ja
huyu jamaa aliondokaga kama mwalimu wa kiswahili usa sas hiv naona ni CEO
 
wakuu mi nauliza scholaship za kibongobongo hapa mfano,chuo kikuu UDSM vp kuhusu link ya scholashp zao..upande wa Masters
Naona zpo za nje tu
 
There is alot of scholarship opportunity available , in order to be accepted, many higher learning institution recommend you to take standardized test like TOEFL , IELTS , SAT , ACT also the fact that you have to pay admission fee interns of dollar with no guarantee of being refunded it turns out to be very expensive thing to do . standardized test plus Admission fee is a big turn-off , although there are some higher learning institution that may accept your admission request without seating for standardized test, its very rare
 
Mwenye taarifa center za kufanyia toefl anijuze,kwa hapa dar
 
Msaada tutani
Nina GPA YA 2.9 diploma kwa tz kwenda higher ishabuma mkuu kabana.. Kuna Njia gani naweza Tumia Au IPO nifike university???
 
Msaada tutani
Nina GPA YA 2.9 diploma kwa tz kwenda higher ishabuma mkuu kabana.. Kuna Njia gani naweza Tumia Au IPO nifike university???
Hiyo gpa ni overall gpa au , gpa ya mwaka wa mwisho?
 
Wengi huwa wanakimbilia vyuo vya afrika mashariki gpa zao ni 2.7 tu , au kufanya mitihani special ya RPL kama utakua na experience katika field uliyosoma kutoka kazini utapata vigezo vya ku apply elimu ya juu baada ya kufanya na ku pass mtihani.
 
Wengi huwa wanakimbilia vyuo vya afrika mashariki gpa zao ni 2.7 tu , au kufanya mitihani special ya RPL kama utakua na experience katika field uliyosoma kutoka kazini utapata vigezo vya ku apply elimu ya juu baada ya kufanya na ku pass mtihani.
Course YA rpl najiungaje Kaka nidadavulie kidogo
 
Course YA rpl najiungaje Kaka nidadavulie kidogo
Ni mitihani ya recognition of prior learning , kama gpa yako haikufikia kigezo cha admission kwenda chuo , lakini umesoma kozi husika alafu umefanya kazi inayohusu taaruma yako inahesabika umejifunza kazini na unauzoefu hivyo utafanya mitihani hyo ilikupata sifa ya kuweza kufanya application kuingia degree , kwa taarifa zaid tembelea tcu website au wapigie simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…