Ragone Msera
New Member
- Oct 31, 2017
- 1
- 0
Upo mwaka wa ngapi,degree gan na kozi ģanlengo langu kusoma kozi ya afya nje ya nchi msaada wa sponsor plz!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo mwaka wa ngapi,degree gan na kozi ģanlengo langu kusoma kozi ya afya nje ya nchi msaada wa sponsor plz!
Mkuu ulishafanikiwa katika hili!? Maana nami nawaza kusoma hii kitu katika level ya masters.Mkuu niruhusu nami nikuchek nahtaji scholarship nikasome masters ya finance and economics je naweza kukuchek kwa msaada zaidi?
Congo DRC kuna chuo filani hivilengo langu kusoma kozi ya afya nje ya nchi msaada wa sponsor plz!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] una waza oxford uku una diploma
tunatoa scholarships(ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama china japan na korea kusini.
scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za kusoma lugha(language programs)
kwa mawasiliano zaidi, fika ofisini kwetu mwananyamala kwa makoma Dar es salaam.
pia unaweza kutupigia simu kupitia number 07111 684900,+86 137 61325614 au tembelea tovuti yetu www.elimusolutions.co.tz.
soma mechanical/electrical degree then masters omba aeronautical. aviation in broad.. na ngumu sana kupata kwa degreeAviation scholarships needed ..pm
Habari Jamiiforums members naomba mnisaidie kupata scholarships za nchi za Scandinavian mfano Norway, Sweden, na Denmark . Scholarships for undergraduate applicants.
Kwa courses mfano professional pilots in aviation, architectural engineering, electronics engineering, electrical engineering, aeronautics & astronautics engineering, aerospace engineering, telecommunications engineering. I'm looking forward to hearing from you. Thanks in advance
hizi aeronautical/aviation kwa undergraduate you need to forget.. you need to be very outstanding and passed ACSEE with flying colours ,to win, chances are 1 in 1000..and never sure 100% full scholarship.
soma mechanical/telecom/electical/mechanical (related field ) in undergraduate. Then masters uje uombe aeronautical..easy to get. especially France (you need academic degree in this case/LMD system)
vipi kuhusu utaratibu wa skolaship za korea ya kusinitunatoa scholarships(ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama china japan na korea kusini.
scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za kusoma lugha(language programs)
kwa mawasiliano zaidi, fika ofisini kwetu mwananyamala kwa makoma Dar es salaam.
pia unaweza kutupigia simu kupitia number 07111 684900,+86 137 61325614 au tembelea tovuti yetu www.elimusolutions.co.tz.
vipi kuhusu utaratibu wa skolaship za korea ya kusini