Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Je kuna uwezekano wa kupata admission kwenye vyuo bila ku submit cheti cha IELTS
 
Nawasalimu wote wadau wa Jamii Forum!! Mimi natafuta Masters Scholarship ya kusomea "Natural Resources Mgt or Environmental Science or Biodiversity & Cobservation". Naomba kwa mwenye kunisaidia pls anitafute kwenye namba +255786224248. Thnx
 
Tembelea tovuti ya chuo cha Nelson Mandela cha arusha, hua wanatoa sana scholarships katika hizo field

nm-aist.ac.tz
 
Back
Top Bottom