Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Mkuu nimeongea nao wanasema hawapo Eneo la kazi kwa wakati huu wapo sehem zingine kwa kazi wapo busy sana.
Supervisor yupo kasema niandae yeye atasaini tu yupo tayar, Na vipi issue ya reference mkuu. Naweza kuja PM kwako?
Mie kwa elimu yangu sio mtu sahihi kwako labda nachoweza kukusaidia ni ninayo recommendation letter moja nilioandikiwa na Mkufunzi wangu wa chuo ni Prof, labda nifute details zake na zangu nkutumie ufanye editing
 
Naweza nikakutumia sampe ya reference/recommendation letter (free of charge), then you can customize it to your needs accordingly
 
Mie kwa elimu yangu sio mtu sahihi kwako labda nachoweza kukusaidia ni ninayo recommendation letter moja nilioandikiwa na Mkufunzi wangu wa chuo ni Prof, labda nifute details zake na zangu nkutumie ufanye editing

Nitashukuru Ndugu
 
Yaani ndo nakuja kuona leo...,
 
Hizi hapa Fastaaa
 
Hivi hawa hawana mambo ya TOEFL kweli?
 
Asante sana mm ndo naanza utafutaji wa hizi scholarship, naona hapa ni sehemu nzuri ya kupata ufafanuzi mzuri. Asante sana
 
Kuna hizi Scholarships pia, though ni za vyuo vya ndani ya Africa, ni scholarships nzuri pia.

boda wisdom mapambano truewor Fastaaa Mzaleee
 
Mkuu asante kwa kutushirikisha fursa hii.

Nilikuwa napitia website ya hizi scholarship nimeona number ya wanufaika ni 12 tu kwangu mm imenivunja moyo sana.
 
Mkuu asante kwa kutushirikisha fursa hii.

Nilikuwa napitia website ya hizi scholarship nimeona number ya wanufaika ni 12 tu kwangu mm imenivunja moyo sana.View attachment 1639210
Mzee unavunjikaje moyo sasa kwa vitu vya aina hiyo?
Mimi nimepata Scholarship ambayo wanufaika ni 10 tuu..!! Na Mimi ni wa kawaida sana mzee.
Hapo sawa wanufaika ni 12, lakini mind u kwanza wameweka restriction ya nchi; there is only a couple of countries ambazo watu wanaweza Ku apply (including Tanzania), na pia kuna kitu ambacho huwa hawakisemi ni Kwamba kuna a minimum namba ya applicants they will have to select from Tz provided Kwamba kuna good quality applicants from Tz.
Shida yetu Watanzania ni watu wa kukata tamaa sana, yaani sio wapambanaji kabisa hii huwa inatucost mno!
Wewe apply kijana kwa hii kitu, if u need assistance Mimi naweza kukushika mkono through the application process, kuku guide nini cha kuandika in ur essays, how to write it and even reviewing ur essays to make sure they are competitive, free of charge!! (SITAKUOMBA HATA SHILINGI MIA YAKO).
What do u have to lose?
Maxmax72
 
wakuu hivi motivation letter ndo maana yake nn wakuu..nimekuta mahala kama kigezo cha kuambatanisha unapo omba chuo ..msaada jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…