Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Wamekusanywa tena kujaza ukumbi๐๐ข๐ก๐๐ข๐ข ๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐๐๐ฌ๐ข๐๐๐ฅ๐ ๐ช๐๐๐๐ง๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐จ๐ง๐๐ก๐ข ๐ช๐ ๐๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ช๐ ๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐ก๐๐๐๐ ๐๐, ๐จ๐๐๐ข๐๐๐ก๐ฌ๐๐๐ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐จ๐ช๐๐ก๐๐ ๐ช๐ ๐๐ข๐ ๐๐๐๐๐, ๐ฆ๐๐ก๐๐๐๐
โช๏ธRais Dkt. Samia Suluhu Hassan anawasalimia Wana Singida na anawapongeza kwa kazi kubwa ya ujenzi wa Taifa.
โช๏ธMradi wa SGR ni wa kimkakati una manufaa kwa Taifa letu, ni uti wa mgongo wa Taifa letu, hapa Singida tutanufaika na mradi huu.
โช๏ธKatika Siku 100 Rais Dkt. Samia ameweka vipaumbele ikiwemo kuanza kwa utaratibu matumizi ya Bima ya Afya kwa wote, anataka jambo hili lianze haraka.
โช๏ธSisi wasaidizi tutafuatilia kwa karibu ahadi zote za Rais Dkt. Samia, tutafuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi pamoja na kufuatilia miradi yote ya maendeleo ili kuwanufaisha Watanzania,
โช๏ธWatumishi wa Umma wanaowasumbua Watanzania hawatakuwa na nafasi, haiwezekani mwananchi anaenda kwenye ofisi ya umma anatarajia apate ufumbuzi na huduma ila anafika pale anazungushwa, huu siyo uelekeo wa Rais Dkt. Samia anaotaka.
โช๏ธRais Dkt. Samia ametoa vitendea kazi anataka kuona Watanzania wanahudumiwa kwa ufanisi, Mwananchi akifika ofisini msikilize, weka kumbukumbu kisha fanyia kazi na likikuzidi lifikishe kunakostahili.
โช๏ธMkitaka wananchi wasibebe mabango wafikieni, wasilikizeni na muwatatulie kero zao, nimeitisha taarifa kila mkoa nikipita huko nikikuta kuna mambo yasiyofaa nitachukua hatua, hatuwezi kuwa nchi ya uchumi wa kati na watu hawatekelezi majukumu yao kikamilifu
โช๏ธTanzania ni mali ya Watanzania, si mali ya viongozi wala si mali ya vyama vya siasa, tuilinde nchi yetu, tusidanganywe kufanya vitendo visivyofaa, Mungu ametupa nchi nzuri sana.
โช๏ธTanzania hii imebarikiwa sana, tunayo madini adimi, gesi na rasilimali nyingine nyingi, tunajua haya ndiyo yanayowaumiza, Watanzania hatuna sababu ya kutofautiana, tukatae utaratibu ambao unaivunjia heshima nchi yetu, twendeni tukatatue kasoro hizi sisi wenyewe tuache nchi yetu ikiwa salama.
โช๏ธVijana na Watanzania wote tuipende na tuilinde nchi yetu, tuna mambo yanayohusu vijana, Rais Dkt. Samia ameanzisha Wizara ya Vijana ambayo itashughulikia masuala yote ya vijana.
Nashangaa sana, hivi huwa wanawatoa wapi wajinga wa kisikiliza huo upuuzi wao๐๐ข๐ก๐๐ข๐ข ๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐๐๐ฌ๐ข๐๐๐ฅ๐ ๐ช๐๐๐๐ง๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐จ๐ง๐๐ก๐ข ๐ช๐ ๐๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ช๐ ๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐ก๐๐๐๐ ๐๐, ๐จ๐๐๐ข๐๐๐ก๐ฌ๐๐๐ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐จ๐ช๐๐ก๐๐ ๐ช๐ ๐๐ข๐ ๐๐๐๐๐, ๐ฆ๐๐ก๐๐๐๐
โช๏ธRais Dkt. Samia Suluhu Hassan anawasalimia Wana Singida na anawapongeza kwa kazi kubwa ya ujenzi wa Taifa.
โช๏ธMradi wa SGR ni wa kimkakati una manufaa kwa Taifa letu, ni uti wa mgongo wa Taifa letu, hapa Singida tutanufaika na mradi huu.
โช๏ธKatika Siku 100 Rais Dkt. Samia ameweka vipaumbele ikiwemo kuanza kwa utaratibu matumizi ya Bima ya Afya kwa wote, anataka jambo hili lianze haraka.
โช๏ธSisi wasaidizi tutafuatilia kwa karibu ahadi zote za Rais Dkt. Samia, tutafuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi pamoja na kufuatilia miradi yote ya maendeleo ili kuwanufaisha Watanzania,
โช๏ธWatumishi wa Umma wanaowasumbua Watanzania hawatakuwa na nafasi, haiwezekani mwananchi anaenda kwenye ofisi ya umma anatarajia apate ufumbuzi na huduma ila anafika pale anazungushwa, huu siyo uelekeo wa Rais Dkt. Samia anaotaka.
โช๏ธRais Dkt. Samia ametoa vitendea kazi anataka kuona Watanzania wanahudumiwa kwa ufanisi, Mwananchi akifika ofisini msikilize, weka kumbukumbu kisha fanyia kazi na likikuzidi lifikishe kunakostahili.
โช๏ธMkitaka wananchi wasibebe mabango wafikieni, wasilikizeni na muwatatulie kero zao, nimeitisha taarifa kila mkoa nikipita huko nikikuta kuna mambo yasiyofaa nitachukua hatua, hatuwezi kuwa nchi ya uchumi wa kati na watu hawatekelezi majukumu yao kikamilifu
โช๏ธTanzania ni mali ya Watanzania, si mali ya viongozi wala si mali ya vyama vya siasa, tuilinde nchi yetu, tusidanganywe kufanya vitendo visivyofaa, Mungu ametupa nchi nzuri sana.
โช๏ธTanzania hii imebarikiwa sana, tunayo madini adimi, gesi na rasilimali nyingine nyingi, tunajua haya ndiyo yanayowaumiza, Watanzania hatuna sababu ya kutofautiana, tukatae utaratibu ambao unaivunjia heshima nchi yetu, twendeni tukatatue kasoro hizi sisi wenyewe tuache nchi yetu ikiwa salama.
โช๏ธVijana na Watanzania wote tuipende na tuilinde nchi yetu, tuna mambo yanayohusu vijana, Rais Dkt. Samia ameanzisha Wizara ya Vijana ambayo itashughulikia masuala yote ya vijana.
Ama hajui anakisema, ama amekaririshwa halafu kasahau baadhi ya maneno au anawaogopa anaowahutubia kwa kuwa anajua wanajua wanadanganywa.Matapeli ya CCM.
Ye mwenyewe mwigulu ni fisadi la kutupwa.
Hayo maneno yake labda mjinga ndio atayaamini.
Kwa ufupi sana nchi imewashinda na wanapaswa kung'atuka