Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 8,659
- 2,227
>Usisikilize simu kwa sikio la upande wa kulia.>Usinywe dawa kwa maji ya baridi.>Muda mzuri wa kulala ni baina ya saa nne hadi saa kumi usiku.>Usile mlo mwingi baada ya saa kumi na moja jioni.>Usile chakula na muda huo huo ukalala.>Simu ikikaribia kwisha charge ni hatari kuitumia, kwani mionzi huwa na madhara mara elfu moja zaidi ya kawaida.>Ni vizuri wakati wa kulala, ukalalia ubavu wa kulia au kimgongo mgongo ili kuepusha matatizo ya moyo.