Dondoo za biashara ya pilipili manga, masoko, bei na changamoto

Dondoo za biashara ya pilipili manga, masoko, bei na changamoto

PoMwamba

Senior Member
Joined
Jul 5, 2022
Posts
140
Reaction score
197
Wakuu habari za asubuhi,

Ninaomba muongozo juu ya biashara ya pilipili manga. Bei, masoko na changamoto zake hasa kwa mikoa ya Dar na Tanga.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Wakuu kwa mwenye uzoefu au wadau wanafanya hii biashara tusaidiane mawazo .
 
Back
Top Bottom