fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Aiseee
Wedding mdada wewe, Mungu anakuonaHuu uzi wako utanifaa siku nikizeeka mjomba.
Ngoja niutunze
Tutafutiane wachumba basi jaman…msitufanyie hivyo loh.Wedding mdada wewe, Mungu anakuona
Mashababi tupo sema tu hatuna helaTutafutiane wachumba basi jaman…msitufanyie hivyo loh.
Ninahitaji changamoto ili nije kuuchangia huu uzi😎
What a good newsTutafutiane wachumba basi jaman…msitufanyie hivyo loh.
Ninahitaji changamoto ili nije kuuchangia huu uzi😎
Sasa buji hii good news ni wapi?ni kukubaliwa ombi la kutafutiwa mchumba au ni lile la changamoto??What a good news
Sasa kama mimi ninatafuta pesa kwanini wewe usitafute.Mashababi tupo sema tu hatuna hela
Kuwa marioo napo ni ajira vijana msichoke kukimbilia fursa
Qualifications
Ni bachelor ya science ya mauno au diploma ya ngono
Ningekuwa sina kibamia hii ndio ingekuwa kazi yanguKuwa marioo napo ni ajira vijana msichoke kukimbilia fursa
Qualifications
Ni bachelor ya science ya mauno au diploma ya ngono