This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Adui mwombee njaa. Yanga wakifungwa ni heshima hata malaika mbinguni huwa wanashangilia hilo anguko.
Simba ikishinda ni shangwe mbinguni na duniani.
Ni shangwe Africa Mashariki yote.
Hapa hakuna uzalendo. Hatuhitaji uzalendo wa kinafiki.
Utopolo kufungwa ni heshima!
Naombea, napiga dua wafungwe hata goli moja tu!
Nb: Tff itengeni Yanga iwe ni spesho kwa kombe la shirikisho. Huko ndiyo angalao saizi yao.
Timu tangu 1996 - 2023 ndiyo inacheza group stage cafcl. Miaka 27 ndiyo wanakusanya pointi 2.