DONE DEAL: Neymar asajiliwa rasmi PSG

DONE DEAL: Neymar asajiliwa rasmi PSG

Messi Singano ameshindwa kufikiana makubaliano na club iliyokuwa ina haha kupata saini yake kule Morocco..
 
Mashabiki wa barca wamenikere kinoma kwa kuchoma jezi ya neymar.
Ingekuwa wamemkuza wao sawa wangeona kama kawasaliti .
Lakini neymar katoka santos moto wa kuotea mbali na bado kiwango chake kimedrop kidogo akiwa barca.
Ss yeye anataka ku move on maboya wengine wanaona kama ni usaliti kwa barca..

Shame on them.. [HASHTAG]#ungrateful[/HASHTAG] fans

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata angekuwa kichaa asingeweza kukataa pesa zote hizo. mwache akavune pesa za mafuta dogo kipaji anacho.
namkubali sana ingwezekana aje hata akipige darajani.
 
20626992_1583945531667910_6123895632874428250_o.jpg

BRAZIL ARE STRONG IN PARIS

sasa sio shaka mji.mzima wa paris ni wana shout jina lake na nina uhakika jezi zitauzwa kama njugu

What goes around always comes around
 
hata angekuwa kichaa asingeweza kukataa pesa zote hizo. mwache akavune pesa za mafuta dogo kipaji anacho.
namkubali sana ingwezekana aje hata akipige darajani.
Abromovich ataweza kumlipa mshahara wa bilioni 1.5 kwa wiki ??

What goes around always comes around
 
Mashabiki wa barca wamenikere kinoma kwa kuchoma jezi ya neymar.
Ingekuwa wamemkuza wao sawa wangeona kama kawasaliti .
Lakini neymar katoka santos moto wa kuotea mbali na bado kiwango chake kimedrop kidogo akiwa barca.
Ss yeye anataka ku move on maboya wengine wanaona kama ni usaliti kwa barca..

Shame on them.. [HASHTAG]#ungrateful[/HASHTAG] fans

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe barca nao kama wabongo tu eti mchezaji akiondoka wanachoma jezi
nyambaf zao ...
mimi unachoma jezi yangu na ninaenda kupokea 1.5bilion tsh kama salary yangu unafikiri najali? Waache wazichome tu

What goes around always comes around
 
LA LIGA itaendelea kupoteza wachezaji wengi wa kigeni maarafu, na akina Ronaldo na Messi hawana miaka mingi ya kucheza.

Issue kubwa ni TAASISI YA KODI ya nchini humo kuwakandamiza wageni na kesi za kodi. Neymar amethubutu..!

Almost angetua Man U msimu wa juzi, sema Van Gaal akazingua.
 
Kweli mkuu, nikisikia hilo jina nachefukwa

What goes around always comes around
 
Atalipwa bilion 1.5 kwa wiki? hapo makato yamesha katwa au bado?....

Magufuli zuia hii hela ikajenge barabara yenye urefu kilomita sita point nane na nusu na robo tatu sita...
 
Mashabiki wa barca wamenikere kinoma kwa kuchoma jezi ya neymar.
Ingekuwa wamemkuza wao sawa wangeona kama kawasaliti .
Lakini neymar katoka santos moto wa kuotea mbali na bado kiwango chake kimedrop kidogo akiwa barca.
Ss yeye anataka ku move on maboya wengine wanaona kama ni usaliti kwa barca..

Shame on them.. [HASHTAG]#ungrateful[/HASHTAG] fans

Sent using Jamii Forums mobile app
ushamba unawasumbua.wao wanadhani kila kilicho bora basi ni cha kwao.ujinga tu neymar katua barca akiwa na kiwango
 
Back
Top Bottom