DONE DEAL: Neymar asajiliwa rasmi PSG

DONE DEAL: Neymar asajiliwa rasmi PSG

Mashabiki wa barca wamenikere kinoma kwa kuchoma jezi ya neymar.
Ingekuwa wamemkuza wao sawa wangeona kama kawasaliti .
Lakini neymar katoka santos moto wa kuotea mbali na bado kiwango chake kimedrop kidogo akiwa barca.
Ss yeye anataka ku move on maboya wengine wanaona kama ni usaliti kwa barca..

Shame on them.. [HASHTAG]#ungrateful[/HASHTAG] fans

Sent using Jamii Forums mobile app
Yalivo mazwazwa hawakuchoma jezi za Fabregas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atalipwa bilion 1.5 kwa wiki? hapo makato yamesha katwa au bado?....

Magufuli zuia hii hela ikajenge barabara yenye urefu kilomita sita point nane na nusu na robo tatu sita...
Unamtia hasira[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom