Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Yalivo mazwazwa hawakuchoma jezi za Fabregas.Mashabiki wa barca wamenikere kinoma kwa kuchoma jezi ya neymar.
Ingekuwa wamemkuza wao sawa wangeona kama kawasaliti .
Lakini neymar katoka santos moto wa kuotea mbali na bado kiwango chake kimedrop kidogo akiwa barca.
Ss yeye anataka ku move on maboya wengine wanaona kama ni usaliti kwa barca..
Shame on them.. [HASHTAG]#ungrateful[/HASHTAG] fans
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app