Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
BBC dira ya dunia, salim kikeke.Kuna jamaa kaniambie Neymar katoa pesa zake kuwapa Barca
Abromovich ataweza kumlipa mshahara wa bilioni 1.5 kwa wiki ??hata angekuwa kichaa asingeweza kukataa pesa zote hizo. mwache akavune pesa za mafuta dogo kipaji anacho.
namkubali sana ingwezekana aje hata akipige darajani.
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe barca nao kama wabongo tu eti mchezaji akiondoka wanachoma jeziMashabiki wa barca wamenikere kinoma kwa kuchoma jezi ya neymar.
Ingekuwa wamemkuza wao sawa wangeona kama kawasaliti .
Lakini neymar katoka santos moto wa kuotea mbali na bado kiwango chake kimedrop kidogo akiwa barca.
Ss yeye anataka ku move on maboya wengine wanaona kama ni usaliti kwa barca..
Shame on them.. [HASHTAG]#ungrateful[/HASHTAG] fans
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya wachezaj wetu bwana Mungu ndio anajuaMessi Singano ameshindwa kufikiana makubaliano na club iliyokuwa ina haha kupata saini yake kule Morocco..
DuuuhhKuna jamaa kaniambie Neymar katoa pesa zake kuwapa Barca
Pesa imetoka kwa PSG ikakabidhiwa kwa wakala wake ili akaununue mkataba.Kuna jamaa kaniambie Neymar katoa pesa zake kuwapa Barca
Unachekesha mkuu, ila sio vibaya kumuwazia mazuri mtanzania mwenzetu pengine siku moja na yeye atapata uhamisho ghaliMshahara kama wa samatta
Kweli mkuu, nikisikia hilo jina nachefukwaLA LIGA itaendelea kupoteza wachezaji wengi wa kigeni maarafu, na akina Ronaldo na Messi hawana miaka mingi ya kucheza.
Issue kubwa ni TAASISI YA KODI ya nchini humo kuwakandamiza wageni na kesi za kodi. Neymar amethubutu..!
Almost angetua Man U msimu wa juzi, sema Van Gaal akazingua.
ushamba unawasumbua.wao wanadhani kila kilicho bora basi ni cha kwao.ujinga tu neymar katua barca akiwa na kiwangoMashabiki wa barca wamenikere kinoma kwa kuchoma jezi ya neymar.
Ingekuwa wamemkuza wao sawa wangeona kama kawasaliti .
Lakini neymar katoka santos moto wa kuotea mbali na bado kiwango chake kimedrop kidogo akiwa barca.
Ss yeye anataka ku move on maboya wengine wanaona kama ni usaliti kwa barca..
Shame on them.. [HASHTAG]#ungrateful[/HASHTAG] fans
Sent using Jamii Forums mobile app