Dongo lililojificha kwenda kwa wanaojiita Simba

A good song ilaa tatizo ni production mbovu za audio beat haijafanyiwa mastering vizuri, na unavyoa. utafikiri huyo producer alikua anabahatisha kugonga beat...
 
Angalia wewe na mahaba mpaka umeacha akili umeshindwa kujua hata salome ya diamond nayo ina origin yake.sasa kama cover ni dhambi yeye ni wa pili.
 
Punguza Mbovu mkuu...hivi umesahau kuwa hata baba ako Dimond wimbo wa Salome na beat sio za kwake?!
 
Point za kufa mtu mi mwenyewe aliniboa sana mala tena anajikosha eti tunachambuaga kama karanga
 
Mkuu unapoteza muda wako kuwajibu kwa fact hao vichwa vya panzi akili wameshikiwa!
 
Hao wenye wivu wanaijua hiyo movie ya The Wolve of wall street?
 
Kawaida mbona hakuna jipya cha kumpa sifa zote bora hata angechukua tuzo
 
Mnajua sana kutafsiri hata kama ni kinyume na alichomaanisha. Hisia hisia hizi ndo zinaleta sana uchochezi kati ya watu na marafiki zao. Better to be silent that speaking sth ambacho hata wewe hukiamini kama n kweli.
 
Darasaa ni sheeedaaaa aiseee kwanza anavaa vizuriii tu
 
Shida yao wanaona wao ndio kila kitu kwenye mziki hapa bongo hawataki kuona mwanamuziki mngine anafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…