DongXingHuaFu Housing Estate ramani ya nyumba ina utata!

DongXingHuaFu Housing Estate ramani ya nyumba ina utata!

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
Hizi ni apartment ambazo zinajengwa Msasani, kwa kuangalia ramani ya nyumba iliyobandikwa kwenye tovuti yao inaonyesha kuwa ni bedroom moja tu yenye shower, vyumba viwili vina choo tu na kuna choo cha uma. Kwa hiyo kama wakazi wengine wanataka kuoga basi lazima waingia hiyo master bedroom kwanza! DongXingHuaFu Housing Estate

cRwccts.jpg
 
Mkuu,

Hakikisha una uhakika na unacho_post kabla huja_post!

Si lazima choo kiwekwe bathtub ili kuonyesha kuwa ndani kuna huduma ya kuoga!Unaweza kuwa kuna huduma ya shower(maji yanayotoka kwa bomba la juu kama mvua) ambayo kimchoro inaweza isionyeshwe na architect ( mbunifu majengo),lkn katika details ikaja kuonyeshwa!

Kwa hiyo relax man, mchoro huo ni sahihi kabisa kitaalam!!
 
Back
Top Bottom