Donnie Yen hazeeki

Kuna kitu inaitwa Millionaire Express, Wheel in Meals, Project A ni nomasana. Ila Sammo Hung ni director mzuri sana huwezi amaini ndio aliandaa kitu cha Estern Condors. Nataka siku moja nikusanye muvi zao zote maana KIX hua zinaonyeshwa mara chache
Eastern Condors huyo Samo Hung ua sana watu kwa chelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.Bonge movie.
 
Mdada keshazeeka jamaa bado,,,,, nadhani ni mipango ya Mungu tu
 
Brad Pitt my fav. Actor na Mwenzie Di Caprio wanachoshwa sana na pombe

Kifupi wengi ni pombe inawachosha
 
Nafkiri na muda wa kutoboa ki movie unachangia.
Nahisi Chan amechelewa kutoboa, yaani alitumia muda mwingi mpaka kujulikana sana na maagent. Lakini Yen hakutumia muda mwingi kupata ma agent wa holiwood. So ikamfanya kupata pesa mingi mapema na kurekebisha maisha mapema. Nahisi Chen kapigwa sana na mawakala kama Rose Mhando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…