Beyonce anajitahidi kujiweka fresh sana...wenzake wamezeeka
Tiger cage ya mwaka gani?Acha hiyo kuna tiger cage....kuna kuna bubu alisema ubandani manzense....matatuuu...matatuuu...matatuuuuu....yale mateke matatu aliyoruka don Yen ktk hiyo movie acha tuuu
Yuko insta anatupia yuko fit sanaKama Morgan Freeman tuu tunaanza kumuona tayari ana mambo ka Lowasa hahaaaaa......
Chuck Norris anatembelea wheel chair itakuwa maana Delta Force mule alikuwa mzeee....
Ila juzi nimecheki movie moja hivi nimeona jina lake kama editor au director sema movie ilikuwa ya kiwack hata siikumbuki. Ila now ni mzeee sana.
Jaden wa will Smith yuko vizuri, karate kid imemtajirisha umeona box office ya hiyo muvi?Chuck Norris alijaribu kumtoa mwanaye sijui ndugu yake yule alikuwa anaitwa Nick Norris sema hakuwa na wakati mzuri Hollywood.
The same watoto wa Chan, Will Smith, Bruce Lee na wengine sijui kwanini hawatoboi wakati resources kwao ni nyingi na connection kibao sema hawatoboi...
Ila Putin huyu Mzee nilikuwa nijiulizaRambo, Tom Cruise na actors wengi wanaendaga plastic surgery under the knife fillers na botox. Anorld tu ndo hanyagi huo upuz. Hata anduje Putin ni fillers na botox aonekane youthful.
napenda sana kazi zao, sasa hivi hakuna directors wa aina ya Sammo hung, huwa almost kila week natazama movies zao nimezi record kwenye usbView attachment 2580342
Hii Combination ilikuwaga fire sana, sidhani kama China/Hong kong itashuhudia kizazi bora cha martial art kama hiki
Mr vampire , lucky stars go places, winners and sinners,Kuna kitu inaitwa Millionaire Express, Wheel in Meals, Project A ni nomasana. Ila Sammo Hung ni director mzuri sana huwezi amaini ndio aliandaa kitu cha Estern Condors. Nataka siku moja nikusanye muvi zao zote maana KIX hua zinaonyeshwa mara chache
Kwamba hutaki kuamini nilichoandika kuwa anajiwekea mingozi ya plastic au unamaanisha nini Witnessj Mama?Beyonce anajitahidi kujiweka fresh sana...wenzake wamezeeka
Mambo ya pedophile wanaanzaje kuzeeka Siri za wakubwa hizo View attachment 2585270Wanachama wa Forever young damu za watoto Zina warudisha utotoni, child trafficking kwaajili ya makafara ya wa kubwa hii Dunia ni zaidi ya unavoijua damu changa ina rejuvenate mwili unajivua gamba then forever young like jigga and queen B, watch and pray.
Yale mashavu ni fillersIla Putin huyu Mzee nilikuwa nijiuliza
Ila kifo cha Aaliyah kilimuuma sana Jet Li wanadai mwezi mzima alikuwa kajifungia analia anasema Alipendezwa na Aaliyah walivyoect. DMX alipokufa alihudhuria msiba.kumbe Jet li kacheza kwenye movie ya Mulan ( 2020 ) ndo alikua mfalme, aisee kabadilika unaeza usimjue kama ndo yeye.
daah. unanikumbusha Romeo must die na ile nyingine jna limenitoka bonge la movie asee.Ila kifo cha Aaliyah kilimuuma sana Jet Li wanadai mwezi mzima alikuwa kajifungia analia anasema Alipendezwa na Aaliyah walivyoect. DMX alipokufa alihudhuria msiba.
Alikuwa anamtafuna AaliyahIla kifo cha Aaliyah kilimuuma sana Jet Li wanadai mwezi mzima alikuwa kajifungia analia anasema Alipendezwa na Aaliyah walivyoect. DMX alipokufa alihudhuria msiba.
Mke wake Anna kournikova kazeeka na alikuwa mkali balaaMsimsahau na msanii Enrique Iglesias
No sikupingi mkuu...yy na mamaake Tina ndo zao hizo..Kwamba hutaki kuamini nilichoandika kuwa anajiwekea mingozi ya plastic au unamaanisha nini Witnessj Mama?