Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Sawa Mama la Mama Witnesj.No sikupingi mkuu...yy na mamaake Tina ndo zao hizo..
Namaanisha na maplastic ila yuko fresh sana
Job Ndugai ndo yupi hapoView attachment 2580252
Umeitazama muvi ya John Wick Chapter 4? Humo utakutana na mtaalamu Donnie Yen kacheza kama kipofu aaitwaye. Ni noma sana humo ndani kakiwasha balaa.
Donnie Yen ana miaka 59 sasa anaelekea 60 lakini muonekano wake utadhani ana miaka 40s. Sio kama wenzake Vincent Zhao, Andy lao, Yuen Biao, Jack Chan, Jet lee (huyu kidogo maradhi yamemzoofisha). Bado yuko fit kabisa kuliko beki kisiki wa msimbazi Josh Onyango😅
Kibongo bongo ukiwa na umri huo tayari ushakua babu unajiandaa kufa.
View attachment 2580250
Ni kama huyu mbabu wa kihindi Anil Kapur unaweza kujua anakua kwa kurudi nyuma. Ukiangalia muvi zake za 90s alikua anamuonekano wa kizee ila miaka inavyozidi kwenda anaonekana kijana. Kwasasa ana miaka 66.
View attachment 2580258
[Anil Kapur aliyevaa viatu vya pink, Huyo binti ni mtoto wake, mwanaume aliye kulia kwake kajishika mkono ni mume wa binti yake]
Ila Putin huyu Mzee nilikuwa nijiuliza
Anaitwa Jaden kama kama amepinda hivi.Yule mtoto wa will smith wa kiume alikuwa anakuja vizuri sana sijui kawaje tena siku hizi, movie alizocheza mbili kacheza na mshua wake, moja ndo yupo na jack chan,
Ya zamani sana aisee hata sikumbuki labda uigugoTiger cage ya mwaka gani?
Lakini mwishowe hapati cast nyingi kivileJaden wa will Smith yuko vizuri, karate kid imemtajirisha umeona box office ya hiyo muvi?
Estern Condors was something elseKuna kitu inaitwa Millionaire Express, Wheel in Meals, Project A ni nomasana. Ila Sammo Hung ni director mzuri sana huwezi amaini ndio aliandaa kitu cha Estern Condors. Nataka siku moja nikusanye muvi zao zote maana KIX hua zinaonyeshwa mara chache
Umenikumbusha movie ya kipanya msosi....View attachment 2580342
Hii Combination ilikuwaga fire sana, sidhani kama China/Hong kong itashuhudia kizazi bora cha martial art kama hiki
Haaaaaa haaaaah wewe jamaa ni kiazi kitamu kabsaaaa.Hata bruce lee hazeeki kila nikiangalia muvi zake naona yuko vile vile
Daah hata mi nilikuwa najiuliza huyu jamaa hazeeki ukilinganisha na wenzake akina Yuen Biao , Jackie Chan , Samo hung, hata Jetli anaonekana age imeenda ila mwamba still yupo imara sana , spendi movie zake za mapanga , visu na mafarasi napenda zile za town na mafia a.k a drug dealer akiwa kama afisa upelelezi utapenda , alafu viwemo vyuma vya kutosha
Huyu jamaa hata mwenyewe ananiacha sana njia panda
Ukicheki umri wake halafu ukaangalia na age mate wenzake kina Jet li na Jack Chan unaona kabisa jamaa ni kama immortal
pia mwamba ni master of kungfu in real life
Jana April 7 Jack katimiza 70yrs. Daah Mungu alituweza kuumba mudaNashangaa sana au wanafanya surgery?