Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Abadilishe katiba nchi iwe ya chama kimoja, kwa sababu katiba inatambua upinzani wapo kisheria, hii inaonyesha jinsi gani ulivyokua mjinga wa mwisho.Acha ashikilie hapo hapo ili adabu iwashike.
Tatizo halipo kwa Magufuli tatizo lipo kwenu nyie mnaosadikika ni wapinzani maana; hamna shkurani, hamna jema linalofanywa na serikali, hamna haya. Kazi yenu kubwa ni kupinga miradi ya maendeleo inayo fanywa na serikali na kuliombea Taifa mabaya ili mpate Cha kuongea wanafiki Wakubwa nyie.
Binafsi ningekuwa Rais siwezi nisingeweza kumpelekea maendeleo mtu anaepinga maendeleo na kuliombea Taifa mabaya ili apate Cha kuongea.
Maendeleo yataenda sehemu ambayo hawayapingi.
Hata uko wanalipa Kodi lakin anazifanya Kama pesa zake kwenye mfumo wa majimbo huu Ujinga hamnaAmefanya nchi yetu kuwa kama shamba lake la mifugo, anataka kuswaga watu tu.
Pesa wazitoe watu wengine, halafu yeye anazifanya kama mali yake binafsi.
Mkuu,Je ni halali kukusanya kodi katika maeneo hayo,na kuzitumia kodi hizo katika maendeleo ya mahali pengine na kiwatenga wao?.Acha ashikilie hapo hapo ili adabu iwashike panya mabaka nyie...
Kweli kabisa hawa maendeleo wanayaita vitu.Acha ashikilie hapo hapo ili adabu iwashike.
Tatizo halipo kwa Magufuli tatizo lipo kwenu nyie mnaosadikika ni wapinzani maana; hamna shkurani, hamna jema linalofanywa na serikali, hamna haya. Kazi yenu kubwa ni kupinga miradi ya maendeleo inayo fanywa na serikali na kuliombea Taifa mabaya ili mpate Cha kuongea wanafiki Wakubwa nyie.
Binafsi ningekuwa Rais siwezi nisingeweza kumpelekea maendeleo mtu anaepinga maendeleo na kuliombea Taifa mabaya ili apate Cha kuongea.
Maendeleo yataenda sehemu ambayo hawayapingi.
Magufuli ni mbaguziUsiwe mjinga mleta mada,!
Hao wanajua hizo ni kampeni tu! Na baada ya oktoba utawaona wako kwenye sherehe za kumuapisha JPM
Hii kauli itamgharimu sanaDonor countries and organization mnatoa hela za maendeleo, lakin mnayempa hizo hela ameapa atazipeleka kwa watu ambao hawajamchagua, huo ni ubaguzi wa wazi wazi.
Ni vizuri mkaifanyia kazi kauli yake na kabla hamjampa hizo hela za maendeleo awahakikishie atawabagua wananchi.
Nakupa siku kumi tu mtaona matokeo ya hizo kauli zake.Usiwe mjinga mleta mada,!
Hao wanajua hizo ni kampeni tu! Na baada ya oktoba utawaona wako kwenye sherehe za kumuapisha JPM
Pia aache kukusanya kodi majimbo ya upinzani ili tuweze kujiendesha wenyewe.Kwanza majimbo yanayoongozwa na upinzani ndio yapo mbele kimapato kuliko majimbo ya CCM!Acha ashikilie hapo hapo ili adabu iwashike.
Tatizo halipo kwa Magufuli tatizo lipo kwenu nyie mnaosadikika ni wapinzani maana; hamna shkurani, hamna jema linalofanywa na serikali, hamna haya. Kazi yenu kubwa ni kupinga miradi ya maendeleo inayo fanywa na serikali na kuliombea Taifa mabaya ili mpate Cha kuongea wanafiki Wakubwa nyie.
Binafsi ningekuwa Rais siwezi nisingeweza kumpelekea maendeleo mtu anaepinga maendeleo na kuliombea Taifa mabaya ili apate Cha kuongea.
Maendeleo yataenda sehemu ambayo hawayapingi.
Mbona ya Lissu hamsemi hizo ni kampeni tu, mpo busy kumwita polisi, NEC na Msajili kwa boda boda!!!Usiwe mjinga mleta mada,!
Hao wanajua hizo ni kampeni tu! Na baada ya oktoba utawaona wako kwenye sherehe za kumuapisha JPM
Acha ashikilie hapo hapo ili adabu iwashike.
Tatizo halipo kwa Magufuli tatizo lipo kwenu nyie mnaosadikika ni wapinzani maana; hamna shkurani, hamna jema linalofanywa na serikali, hamna haya. Kazi yenu kubwa ni kupinga miradi ya maendeleo inayo fanywa na serikali na kuliombea Taifa mabaya ili mpate Cha kuongea wanafiki Wakubwa nyie.
Binafsi ningekuwa Rais siwezi nisingeweza kumpelekea maendeleo mtu anaepinga maendeleo na kuliombea Taifa mabaya ili apate Cha kuongea.
Maendeleo yataenda sehemu ambayo hawayapingi.
Kabla hujacoment ni vizuri kujiridhisha katiba ya nchi inasemaje?? Wafute kwanza kipengele kinachokataza ubaguzi ndipo warudi kubagua wananchi, kinyume cha hapo ni uhujumu dhidi ya katiba na haki za raia!
Endeleeni kujipa moyo. Gadafi na Sadam walivutwa taratibu kama Magu walipojua wamejaa kwenye 18 walipewa kitu hadi leo hawajui kama wapo Ahera au duniani. Na hao chumi zao hazikuwa tegemezi sana kwa wazungu. Sasa subiri Magu ajae king uone habari yake.Usiwe mjinga mleta mada!