Donors kwa ajili ya project yangu ya kilimo cha Ufuta

Donors kwa ajili ya project yangu ya kilimo cha Ufuta

RUTUBA

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
66
Reaction score
17
Jaman nimemalza chuo na natak nikalime ufuta kwetu Songea na Tunduru mkoan Ruvuma , natafuta mtu w kufinance or joint venture , me npo tayari kupiga kaz
 
Fanya kwanza peke ako then people will join to expand the venture when there will be seen a tangible achievement in what Ur doing
 
hujaonja hata joto ya kilimo unataka finance....maelezo mafup uliyotoa hayanipi ari ya kufinace wazo lako...siku nyngne tueleze unaplan kulima eneo kiasi gan endapo ukiwezeshwa,unatarajia kuvuna kias gan,na muhimu soko lako ni nani na wp,pia usisahau gharama ya production na unatarajia kuzalisha kiasi gan
 
kweli kabisa anza kwanza ww onesha nia...ndiyo wadau utapata...
 
ufuta unastawi songea?? kama ndiyo, wilaya gani???
 
Donnar huwa hawa finance Profit business mkuu unless kama hicho kilimo ni kwa ajili ya kuinua maisha ya watu wa huko.
 
Back
Top Bottom